Hawa Vodacom wanaumwa!!

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,546
3,549
Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia

Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??
 
Mkuu wanaumwa kweli nnnyaa plus dengeu afu hata tigo nao wame change juzi wamenshtua na kipato changu hichi tia maji
 
Mwenyewe nimejiunga leo nikachokaaa..!! Kweli ukisikia ofa mpya jua kuna ya zaman inaminywa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.
 
Yani hawana ht maana
 
Mkuu wanaumwa kweli nnnyaa plus dengeu afu hata tigo nao wame change juzi wamenshtua na kipato changu hichi tia maji

Hhahaa,,yan hawa voda wana nnyaa haswaa mkuu,mambo ya kindez haya
 
Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia

Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??

Sina habari. kama ndio hivyo bora kuihama voda.
 
Mi asa hivi nina lain za TIGO,VODA & AIRTEL kazi yangu ni kuangalia nani mwenye unafuu zaid ya wote kisha ndo najiunga.
 
Leo nimenunua kifurushi cha sh 499, yani sina hamu nao tena.. Narudi zangu airtel,
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kitendo cha VodaCom kubadilisha gharama za bundles bila kuwajulisha wateja wake ni wizi mkubwa. Ni bora muwajulishe wateja kabla hamjabadilisha vifurushi ili mtu ajue anabaki ama kuhama kulingana na uwezo wake.

Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.
 
Mwenyewe nimejiunga leo nikachokaaa..!! Kweli ukisikia ofa mpya jua kuna ya zaman inaminywa

Sent from my iPhone using JamiiForums

Leo Voda wamenitumia SMS kuwa kuna ofa mpya inaitwa Cheka zogo. Kumbe ndio lilikuwa lengo lao kuminya vifurushi vya cheka.
Halafu kama utakuwa makini,siku zinavyozidi kwenda kadiri idadi ya watu wanaotumia smartphone inavyoongezeka,hawa ndezi Ndio wanaendelea kupunguza MB. Dawa ni kuwakimbia tu.
 
Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.

:smile-big:
 
Hata mimi nimeshangaa. Inabidi tupate mwongozo wa spika
 
Back
Top Bottom