hawa vodacom wana nini?

Kidonya N.

Member
Apr 13, 2012
80
17
ni mara kadhaa sasa mtatandao unasumbua, bando lianaisha bila kutumika, ni tatizo gani wadau kama unalijua, nini utatuzi wake?
 
Mi ndo hivo nilishaisahau kabisa. Kwamaana kila ikifika mida ya jioni speed inakuwa slow yaan hata hamu hakuna. Ni kazi kweli kweli bora hata halotel walau ni nafuu.
 
Back
Top Bottom