Hawa Vodacom Kulikoni Tena Wakuu

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,278
1,553
Wakuu Someni Hili Tangazo La Vodacom Mm sijalielewa Hata Kidogo
IMG-20190222-WA0118.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bank account si unailipia kila mweiz, basi nao wameanza wizi huo!
Kwani hii ni bank account?

Alafu kama sihitaji huduma ya mpesa,ni lazima niwe nayo?

Watu hawanunui laini za simu kwa ajili ya mobile money services, ni kwa ajili ha mawasiliano, hayo mengine ni ziada na mtu ana haki ya kuikataa.

Hili halikubaliki.
 
Huu wizi ! Costs zipi za maintenance ? Faida wanayopata ni kubwa mno katika transactions . Mfano unatoa sh.13000 mpesa ada yake ni sh.1400, more than 10% ya pesa unayoitoa na sina hakika kama hii tozo huwa inakatwa kodi . Just imagine wanamake profit kiasi gani kwa kila sekunde moja ! Halafu et wanahitaji maintenance fee zaidi huu ni uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda Tamaa imewazidi, mamlaka zinazo regulate mawasiliano ziwatazame kwa jicho pevu zaidi . Kama tozo wanaipata kwenye hizi transactions ingekuwa ni kwaajili ya maintenance nina hakika tozo isingekuwa inafika mpaka 10% na zaidi ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
 
Huu wizi ! Costs zipi za maintenance ? Faida wanayopata ni kubwa mno katika transactions . Mfano unatoa sh.13000 mpesa ada yake ni sh.1400, more than 10% ya pesa unayoitoa na sina hakika kama hii tozo huwa inakatwa kodi . Just imagine wanamake profit kiasi gani kwa kila sekunde moja ! Halafu et wanahitaji maintenance fee zaidi huu ni uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hii ni internal communication, huogopi kutumbuliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
Mamlaka zinazohusika zinapaswa kuchukua hatua . Voda wamefika hatua wanaweka matangazo kwa watumiaji wa simu bila ridhaa yao mfano unampigia mtu simu , unapewa kwanza tangazo la around 20 seconds ndipo unaunganishwa na mtu unaempigia , hata kama ulikuwa na emergency sidhani kama mamlaka zinahusika zinatambua huu ujanja ujanja wa voda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom wanahuduma nzuri sana ila ni moja kati ya mitandao yenye gharama sana TZ na sio kwenye m-pesa tu Bali hata vifurushi vyao vya kupiga na intaneti ni gharama sana compared na mitandao mengine yawezekana GOT inawatoza kodi kubwa.
 
Kwani hii ni bank account?

Alafu kama sihitaji huduma ya mpesa,ni lazima niwe nayo?

Watu hawanunui laini za simu kwa ajili ya mobile money services, ni kwa ajili ha mawasiliano, hayo mengine ni ziada na mtu ana haki ya kuikataa.

Hili halikubaliki.
Kama huitaji why unaweka pesa? Acha zero balance ili wasiwe na salio la kukata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology inakuwa na gharama zinashuka kwa kasi mfano zaman ulikuwa unahitaj physical servers lakin sasa si lazima , zamani ulihitaji telecom infrastructure za kutosha lakin sasa unaweza zipata as a service , unalipia kadri unavyotumia , zaman ulihitaji maintenance kufanywa physically na watu hivi sasa unaweza kuzipunguza kabisa hizo maintenance costs kupitia technology au voda wako sayari nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom