Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
bank account si unailipia kila mweiz, basi nao wameanza wizi huo!Wakuu Someni Hili Tangazo La Vodacom Mm sijalielewa Hata KidogoView attachment 1029410
Sent using Jamii Forums mobile app
Hupaswi kuchukua/kukata pesa ya mtu bila makubaliano au taarifa inayompa nafasi mtumiaji wa huduma yako kukubali au kukataa.bank account si unailipia kila mweiz, basi nao wameanza wizi huo!
Kwani hii ni bank account?bank account si unailipia kila mweiz, basi nao wameanza wizi huo!
Ukikataa si maana yake uache kutumia, simple and clearHupaswi kuchukua/kukata pesa ya mtu bila makubaliano au taarifa inayompa nafasi mtumiaji wa huduma yako kukubali au kukataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hii ni internal communication, huogopi kutumbuliwa?Huu wizi ! Costs zipi za maintenance ? Faida wanayopata ni kubwa mno katika transactions . Mfano unatoa sh.13000 mpesa ada yake ni sh.1400, more than 10% ya pesa unayoitoa na sina hakika kama hii tozo huwa inakatwa kodi . Just imagine wanamake profit kiasi gani kwa kila sekunde moja ! Halafu et wanahitaji maintenance fee zaidi huu ni uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka zinazohusika zinapaswa kuchukua hatua . Voda wamefika hatua wanaweka matangazo kwa watumiaji wa simu bila ridhaa yao mfano unampigia mtu simu , unapewa kwanza tangazo la around 20 seconds ndipo unaunganishwa na mtu unaempigia , hata kama ulikuwa na emergency sidhani kama mamlaka zinahusika zinatambua huu ujanja ujanja wa vodaKuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
Kaka Niko Tayari Kuwa wakili Wako, Tuweke Precedence Kwa aya MakampuniKuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
Kama huitaji why unaweka pesa? Acha zero balance ili wasiwe na salio la kukata.Kwani hii ni bank account?
Alafu kama sihitaji huduma ya mpesa,ni lazima niwe nayo?
Watu hawanunui laini za simu kwa ajili ya mobile money services, ni kwa ajili ha mawasiliano, hayo mengine ni ziada na mtu ana haki ya kuikataa.
Hili halikubaliki.
Hawa wendawazimu hawazingatii kabisa yani kila linalowajia kichwani wanatekeleza tu utasema wamekuwa miungu watuHupaswi kuchukua/kukata pesa ya mtu bila makubaliano au taarifa inayompa nafasi mtumiaji wa huduma yako kukubali au kukataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Someni Hili Tangazo La Vodacom Mm sijalielewa Hata KidogoView attachment 1029410
Sent using Jamii Forums mobile app