Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya ndugu yangu mmoja kunirudishia simu harakaharaka lakini nilichosikia tu ni kua "mtandao choo". Yaani mimi ninamsikia vizuri tu ila yeye hanisikii kabisa!