Hawa vitoto vya kiume wa siku hizi hawanaga adabu

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,413
55,986
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!

Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!

Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!

Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.
 
Usidharau wembamba wa RELI, treni inapita humohumo
 
Hahaaaaa dada vipi??? Yamekukuta nini kasharobaro kanataka kujiweka kwako??

Ila ukiwa na wanawake waliokuzidi umri ina faida zake. Wanakufungua mawazo pia. Mimi nilianza na mwanamke amenizidi miaka minne. Toka nikiwa chuo. Na nilimuoa(RIP)

Na hata baada yake sitaki wanawake umri wangu
 
Mwanamke aliekuzidi umri ana ladha Fulani ya ajabu kuliko agemate wako . au underage

Ukinasa kwenye penzi lake ni vigumu kutoka .

Nilishawahi kunasa kwa Dada alinizidi five years halafu mzuri balaa na anawatoto watatu hana kazi nilikuwa nampiga Tafu kimaisha
 
Back
Top Bottom