Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!
Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi wao.Utakuta mtoto wa miaka 24 au 25 anatongoza mdada wa miaka 30 au 45 loohhh!!
Hivi hua mnafata nini kwa wazee?au ndo hali ngumu mnataka vitongaa au ndo kupenda kulelewa tu...!!
Nyie watoto kueni na adabu jamani hebu katafuteni rika lenu hukoo!!
Mtapata laana kuchungulia wazee wenu.