Hawa viongozi wetu hata kuvaa nako ishu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa viongozi wetu hata kuvaa nako ishu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by wimbi la mbele, Jul 7, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani mimi naomba kuuliza

  Inakuwaje mtu mwenye cheo kama DG wa shirika kubwa kama NSSF anavaa hivi tena mbele ya board members...au mwenyekiti wa chama mbadala kuvaa hivi?

  Kuhusu Freeman Naelewa alikuwa Bungeni sasa huyu Dau inamaana amewadharau hawa board members au uswahili umemkaa?

  Hivi kuvaa nako kunahitaji mwongozo?

  I'm utterly disappointed na haya mambo ya viongozi wetu kutaka yaingizwe kwenye katiba mpya? Kenya nako attorney General wao anavaa hereni kisioni

  Hivi huyu Dau anataka awe taken serious CEO kweli? Huwezi kukuta akina Kitilya wa TRA au yule Kimei wa CRDB akionyesha daharau kwa board members kama huyu


  [​IMG]

  Pichani: Dau akiwa na board Members wa NSSF 77

  [​IMG][​IMG][​IMG]

  Rais mtarajiwa wa Tanzana (FREEMAN) ....naye kaingia kwenye huu mkumbo sasa sijajua hii ni influence ya Zitto au Freeman anajaribu kutuonyesha naye ni MAN OF THE PEOPLE?

  Naomba mwongozi tafadhali
   
 2. t

  the circus Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili nalo lazima liwekwe wazi mwongozo ni upi?

  hII NI MWENDELEZO WA DDHARAU kwa b=bodi ya wadhamini
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Aiseee huyo shoree mwenye nyekundu nani huyo?
   
 4. t

  the circus Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tazama huyo jamaa aliyevaa suti sijui ni nani lakini kule michuzi inasema ni board chairman wa NSSF akimsikiliza Yanga Kid (DAU) na mikanzu kanzu yake

  [​IMG]
   
 5. t

  the circus Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Michuzi wanasema ndiye mkuu wa PR officer wa NSSF anaitwa Eunice Chiume. Nadhani ndiye anashinda humu JF kumtetea bosi wake MSWAHILI (DAU)
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Nani anammega?
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa inabidi aache uswahili sasa

  inamaana Tshirt haina vifungo? na ndio nini kukaa kaa mabarazani kariakoo ?

  [​IMG]
   
 8. t

  the circus Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naskia anaye mume...
   
 9. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mwingine huyu hapa anatangaza pombe za kenya

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 10. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huyu alievaa nguo nyeusi hawezi kuwa rais

  hajui kuomba kura

  [​IMG]
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa mavazi wakuu hakuna mtu na mkubali kama lukuvi anajitahidi sana.Kwa waislamu ijumaa kuvaa kanzu kawaida mkuu sema tu kama huipendi dini hiyo tukuelewe
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kwa inavyoonekana hapa tatizo ni dini, acheni hizo jamani.Kuna tatizo katika utendaji wake?
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  JF imeishiwa kweli watu wanaanza sasa hata kujadili mavazi??MODS hebu rejesheni heshima ya hili jukwaa thread za aina hii sio mahali pake hapa ziondolewe au zitafutiwe jukwaa lake!!!mnatuabisha sasa MODS!!
   
 14. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  haya mavazi naona wanapendeze sio kufuata mambo ya kimagharibi
   
 15. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mavazi yanalisaidia vipi taifa au ni utamaduni tu lazima tubadilike bwana
   
 16. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Mkuu, sina uhusiano wa aina yoyote na hilo vazi,lakini pengine hizi ni dress down fridays??hii inaweza kuchukuliwa kama casual wear tu nadhani..afta all kama hao waliokaa kulia ndio board members,baadhi yao wamevaa casual pia..sidhani kama ni issue,hili ni vazi la kimwambao tu..ila kwasabu pwani ilikuwa na waislam wengi,likaishia kuonekana kama vazi la msikitini tu..sioni tatizo.
   
 17. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Lowasa naona kashindwa kuelewa wenzie wanakunja vipi miguu. Wali haushuki akikaa hivyo.
   
 18. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kuona Waraka wa mavazi katika utumishi wa umma amabo unamhusu na Dau pia. Hairuhusiwi kuvaa kanzu hata kama ni siku ya Ijumaa. Hairuhusiwi kuvaa kikoi wala aina yoyote ya kofia unless inatumika kwa shughuli maalum kama sare za michezo, au ni uniform ya event fulani.

  Bila kuficha Dau anakosea kwa kuvaa kanzu na pia hata huyo PR aliyevaa kitu kimebana hivyo amekosea. Nguo hizo avae jumamosi au jumapili akiwa hayupo katika mazingira ya kikazi.
   
 19. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hii nayo kali kwani wameamua kurudi walikotoka baada ya bei ya bia kupanda......
   
 20. l

  luvara Senior Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mavazi waliyovaa viongozi wetu hapo juu ni mavazi mazuri na ya heshima, ila kwa mtu mwenye fikra anazozijua yeye mwenyewe si mavazi mazuri. Ikumbukwe hata Baba wa Taifa hili alikuwa akivaa hivyohivyo mara nyingi hasa mara baada ya uhuru na miaka mingi baadaye na alikuwa akizungukwa na watu waliovyaa hivyo. Kupinga uvyaaji wa namna hiyo ni ishara ya wazi ya uwepo wa chuki na vimelea vya ubaguzi au ukaburu. Hebu pona kaugojwa ka ubaguzi na unyani.

  Ni bahati mbaya katika nchi hii hata ungekuwa na utendaji wa kutukuka hutasifiwa maadam ni mvaa kanzu na kibaraghashaia. Mkumbuke Shabani Robert....
   
Loading...