Hawa vijana naamini wakiangalia hii picha kwa sasa wanajidharau sana

Kwanini wajidharau wakati lowasa alishinda? Jitihada zao hazikua bure sema refa alipendelea upande mmoja hadi akahalalisha bao la mkono lowasa nae akaona watanzania wanathamani kuliko yeye so hakutaka umwagaji damu akaona atulie. Mbona sasa anakumbukwa
Aliyeshinda ni rais wa JMT sasa, lowasa anajijua mwenyewe ni nani nchi hii kwa sasa
 
Ndizi pakia kwenye maroli lami iko kila mahali Bombadier si ya ndizi
Labda ungeniambia kwa treni ya umeme, nataka niendane na neema ya Mkulu japo niache hata athari ya doa kwenye vyombo maridadi kabisa nya kisasa.
Huu sio muda wa kutumia Lori bana, unataka vyombo vyetu apande nani? Ohooooo hata mbolea naweza kusafirisha asee.
 
Aliyeshinda ni rais wa JMT sasa, lowasa anajijua mwenyewe ni nani nchi hii kwa sasa
Acha ujinga mkuu kwenye vitu serious.. Kuna Jema tulilonalo hivi sasa kwenye utawala huu! Ninauhakika ndani ya moyo wako kabisa hata wewe Unajuta kuwepo kwa huyu mtu Hapo magogoni!
 
Wanajutia au wanafurahi?
Uongozi wa sasa hivi ungekuwa mzuri ndo wangajuta ila kwa hali ilivyo wanafurahia coz hawakufanya kosa. Hata hivyo Lowassa alishinda...Ipo wazi, sitaki maswali.
 
Hata kwa jinsi maisha yalivyo sasa wanatamani wangedeki zaidi
Mtoa mada hufai pussy
 
Acha ujinga mkuu kwenye vitu serious.. Kuna Jema tulilonalo hivi sasa kwenye utawala huu! Ninauhakika ndani ya moyo wako kabisa hata wewe Unajuta kuwepo kwa huyu mtu Hapo magogoni!
Wazee wa siasa bna..kwa hyoo kungekuwa na utawala wa lowasa sas hvi kungekuwa na jema sio.?
 
Back
Top Bottom