Hawa vijana naamini wakiangalia hii picha kwa sasa wanajidharau sana

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,848
10,118
f1d315301f3cf5ba275d3b588eb1fb64.jpg
 
Kwanini wajidharau wakati lowasa alishinda? Jitihada zao hazikua bure sema refa alipendelea upande mmoja hadi akahalalisha bao la mkono lowasa nae akaona watanzania wanathamani kuliko yeye so hakutaka umwagaji damu akaona atulie. Mbona sasa anakumbukwa
Pale siasa inapokunyang'anya akili zako za kawaida kwa muda
 
Wajidharau kwa lipi, Mi naamini hawana sababu ya kujutia kwa kama walikua na sababu ya walichokua wanakiamini kingetokea.
1)Waliahidiwa Elimu bure mpaka Chuo kikuu kama sio wao, ndugu Jamaa na marafiki wangesoma-haina kujutia.
2)Waliahidiwa Milo mitatu si ajabu Leo wamebakiwa na mlo mmoja-hawawezi juta kamwe.
3)Walahidiwa kufutiwa Mkopo wa Bodi ya mikopo(Helsb) Badala ya kufutwa makato yameongezeka watajuta kwa Lipi.
4) Ajira hakuna wanashinda kitaa na vijiweni wajute kwa Lipi.
5) Hakuna uhamisho, Ongezeko la mshahara la Kila Mwaka, Hakuna kupanda madaraja kwenye idara kama Elimu.
6)Washikaji zangu Wamachinga mitaji Yao imefia kwa migambo hapa Mwanza.
7) Maisha yameharibika vitu bei juu wewe unaandika ili uwafurahishe viongozi wako, kiukweli Hii post imeishia kaniharibia Siku, watu wanalala Njaa Majita-Mara, Ihanja-Singida, We umekalia ujinga wa Kuona Kila kitu kiko Sawa.
 
Kwanini wajidharau wakati lowasa alishinda? Jitihada zao hazikua bure sema refa alipendelea upande mmoja hadi akahalalisha bao la mkono lowasa nae akaona watanzania wanathamani kuliko yeye so hakutaka umwagaji damu akaona atulie. Mbona sasa anakumbukwa

Alishanda monduli lkn sio tz hii.
 
Back
Top Bottom