barikiwa
Senior Member
- Dec 4, 2018
- 145
- 263
Hawa jamaa wengine huwaita alien, wengine Mungu ndio waliotengeneza mapyramid ya Misri kwa ajili ya kusafirisha gold kutoka duniani kwenda huko kwenye sayari yao kwa kutumia laser technology
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app