Hawa trafiki Kimara vipi? Wanazuia daladala kuchukua abiria

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Nashangaa wanazuia daladala kusimama na kuchukua abiria hapa kimara mwisho na ukisimama wanakupiga faini

Sasa sisi abiria tunaoshuka kutoka mwendo kasi ili tupande daladala kwenda mbezi mnataka tufanyeje?

Kwa sababu hapa kituoni tumejazana ila gari hazisimami na trafik wamejaa
 
hapo kuna kiongoz wao mrefu mwehusi hivi sjui anaitwa nani yule ni mkuu wa trafiki wa kimara anakiherehere hafai kbsa, yani ina arudishwe bagamyoyo we trafiki gani hapokei rushwa mjini hapa, yani hafai kbsa wyule akikumata lazima akuandikie.
 
Lipa faini ndiyo upakie utakuwa umesha,alalisha siku hizi natembelea tairi mbovu sababu hata gari ikiwa nzima wanatumbua tu bora niandikiwe nikiwa na kosa
 
Itakuwa za kwao matarafiki hazisimami ndio maana wanaona wivu kwa wanaosimamisha tena jioni kama hii.
 
hapo kuna kiongoz wao mrefu mwehusi hivi sjui anaitwa nani yule ni mkuu wa trafiki wa kimara anakiherehere hafai kbsa, yani ina arudishwe bagamyoyo we trafiki gani hapokei rushwa mjini hapa, yani hafai kbsa wyule akikumata lazima akuandikie.
Kumbe hata wasipopokea nayo tena shida
 
hapo kuna kiongoz wao mrefu mwehusi hivi sjui anaitwa nani yule ni mkuu wa trafiki wa kimara anakiherehere hafai kbsa, yani ina arudishwe bagamyoyo we trafiki gani hapokei rushwa mjini hapa, yani hafai kbsa wyule akikumata lazima akuandikie.
Anaitwa zuberi,mweusi mpaka fizi,hacheki,yeye ni kupiga cheti tu kuanzia 90...
 
Issue kama hizi zilikuwa zinatokea kitambo Askari walikuwa wakizuia mabasi yasigeuze barabarani yaani yaende hadi mwisho wa kituo basi watu walikuwa wanajazana hapo hadi wanazuia njia yote Trafics mwenyewe akawa anayasimamisha anawaambia wapakie and then anasepa kuua soo hadi abiria wakipungua anajisogeza tena anakaza...

Dawa ya hawa jamaa hata kwenye Mataa pale Kinondoni kuelekea Salender kamchezo hako kapo maana anaruhusu magari ya kutokea morocco anawasahau watokeao kino basi wa kino husogea kidogo kidogo na kuzuia njia yote so anakuwa hana la kufanya anayaruhusu... jamaa huwa makauzu ukipiga honi basi ndio unaongezwa dakika 30 za kusubiri gademed
 
Back
Top Bottom