Hawa serikali iwape Ajiri pasipo mashaka!

BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
422
510
Vijana wanaomaliza Chuo kuanzia mwaka 2017,2018,2019 na 2020 wapate ajira mapema maana wamejione wenyewe uChungu wa nchi na mwelekeo wa nchi unatakiwa Uweje....wengine mjiari Kwani Boom mmekula ovyo ovyo na kwenda club na hela za boom lakini kwasasa mwanafunzi anaogopa hata kutumia boom vibaya kwasababu ya uchungu wa nchi na maendeleo ambayo anayaraka raisi na uzalendo.Hata hivyo hawa vijana wamepata mkopo kwa Shida na kwa vigezo sahihi!
 
You might be crazy
 
Kwahiyo hata wazazi wako Walimu kule kijijini nao waachishwe kazi waajiriwe hao wapya?

Vijana wanaomaliza Chuo kuanzia mwaka 2017,2018,2019 na 2020 wapate ajira mapema maana wamejione wenyewe uChungu wa nchi na mwelekeo wa nchi unatakiwa Uweje....wengine mjiari Kwani Boom mmekula ovyo ovyo na kwenda club na hela za boom lakini kwasasa mwanafunzi anaogopa hata kutumia boom vibaya kwasababu ya uchungu wa nchi na maendeleo ambayo anayaraka raisi na uzalendo.Hata hivyo hawa vijana wamepata mkopo kwa Shida na kwa vigezo sahihi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom