Hawa Samsung mbona kama siwaelewi

Asa izo dharau kaka ....maisha hatufanan mm nanunua kitu kulingana na pesa yangu inavyoruhusu .... sasa ukisema kopo samsung A02 mama yako atakuwa anatumia nn? Maana ndio unataka majibu ya shit.......inatakiwa uwe mstaarabu na si kukashifu watu umu

Sasa kama umenunua kutokana na pesa yako kwanini unataka huduma ambazo zipo kwenye simu za bei ya juu???

Yani unanunua kopo la laki 2 unata liwe kama simu ya milioni 1 ???

Ww unadhani bei zipo tofauti kwa kuzingatia nini?
 
Mshamba tu uyo jamaa! Analleta ďharau usikute ye mwenyewe anatumia vi tecno ....k mkubwa uyo

IMG_2887.png

Kweli kabisa hii ni tecno
 
Habar wakuu,

Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung wamechoka kias kwamba wameshindwa kuweka finger print na screen shot kwenye A02?

Chief mkwawa ni kweli hawana screen shot na finger print au mm mwenyewe tu nimeshindwa kugundua zilipo?
Ipo ile njia ya kupangusa pia, nenda setting somewhere kwenye gestures weka on, kisha kupiga screenshot kwa kutumia kiganja fanya kama unafuta uchafu kwenye kioo pangusa itapiga screenshot.
 
Ipo ile njia ya kupangusa pia, nenda setting somewhere kwenye gestures weka on, kisha kupiga screenshot kwa kutumia kiganja fanya kama unafuta uchafu kwenye kioo pangusa itapiga screenshot.
Umetisha sana kaka .....# chief mkwawa
 
Njia nyingine km hutak mambo mengi nenda playstore download app ya screenshort ...uwe unatumia ukitaka kupiga screenshort.....hiyo option ya kutumia button ya volume na power button sishauri sana coz wengi wantumiaga nguvu sana mwisho wa siku unaharibu button
 
Ambavyo sijavitaja vyote vilikuwa safi kwa hiyo hicho kilichotajwa ndo walifeli.

huko sio kufeli. Maana huwezi kusema hiki gari linakimbia sana lakini ubaya wake linakula mafuta,

huko kula mafuta ndio kunakufanya gari likimbie.

kama uliona Performance nzuri, kioo kizuri basi ujue hivyo vyote vinahitaji chaji.

Hizo simu unazolalamikia hazikai na chaji ndio flagship zinazoshindanishwa na Simu nyingine na makampuni mengine na ndio bei ghali ambazo watu hawamudu kununua
 
Back
Top Bottom