Hawa Samaki wa bwawa la Nyumba ya Mungu ni zaidi ya pweza...

Nyumba ya Mungu ya hapa Ushirombo, hakuna samaki wa aina hiyo aiseeee
Aisee wapo,.. Unakumbuka bwawa lilifungwa kwa miezi 6,limefunguliwa mwezi Jana tu na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na Manyara.... Saa hizi kuna mizigo ya maana... Pita pale Kifaru utawakuta mkuu..
IMG_20170902_141306.jpg
 
Hao samaki ufanye utaratibu wa kuwaleta dar es salaaaam.

Tunawahitaji saana
 
Back
Top Bottom