Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

Ni Nani aliyekuwa tayari kumtoa jamaa yake, ndugu yake, Mtoto wake kufanya kazi za ulinzi,
uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc.

Kama hakun tuwaache riziki ni popote. Kuna wabongo wengi miaka ya hivi karibun wamekimbia nchi kutafuta maisha nje nao wakitendewa hivyo ni hatari Sana huko ughaibun
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Mkuu unasema CCM waondoke Hawana jipya, vilevile wapinzani wamejaa Maopputunist tu hawawezi endesha nchi, sasa Hebu toa mwongozo ni jinsi gani tutatoka hapa tulipokwamia.
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
Ule mkutano aliouitisha Chancellor Bismarck bado unatutesa waafrika. Jamani mipaka ya nchi isitutese, hii mipaka iliandaliwa na wakoloni. Afrika ni moja .
 
Kama wanaishi bila kufuata taratibu za uhamiaji ni makosa...na huo ndiyo ukweli, tuache unafiki wa kijinga..
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
umeanza vizuri sana, lakini umekuja kunya hapa.... hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya
 
Tena hao jamaa hawafaikabisa huko MBEYA wameua kabisa soko la KUKU wa kisasa na kienyeji maana wao wanawaingiza nchini na kuuza ktk Hotel kubwa Lodge na Migahawa mikubwa hivyo wafuga KUKU MBEYA hali yao ni Tete poleni wafugaji wa KUKU mkoani MBEYA
 
Hakuna watu ambao wako poa waaminifu na wanyenyekevu kama wamalawi hawa jamaa unaweza kuwadharau kwa muonekano wa kishamba, mtoa mada ni kweli usalama wako unatishiwa na hao wamalawi? Na kwa bahati nzuri umesema ni ma shamba boi na ma house boy, nenda kwao ukaone waKinga na waNyakyusa walivyojaa huko, unless kama wamekudhuru ila malalamiko yako hayana mashiko,
Waswahili wamevamia Kalonga,Mzuzu,Lilongwe,Blantyre, Limbe n.k,wanaendesha biashara zao(wengine wana maduka) kwa uhuru kabisa japo wengine hawana hata vibali vya kuishi.
 
Huku city center warundi wamejaa wanatuuzia madafu na machungwa mbona fresh tu!..tuache roho mbaya na kujitisha bila sababu!!!.. kama si mkoloni kutugawa kwa kututenga kwa mipaka huu ujinga wa sijui wahamiaji haramu usingekuwepo. Yaani unamuita mwafrika mwenzako haramu kisa tu mzungu kawatenganisha kwa mipaka? Wtf?
Huge point
 
Waswahili wamevamia Kalonga,Mzuzu,Lilongwe,Blantyre, Limbe n.k,wanaendesha biashara zao(wengine wana maduka) kwa uhuru kabisa japo wengine hawana hata vibali vya kuishi.
Ndicho nilichomwambia mtoa mada, angewahi hata kwenda huko na kujionea, wala asingethubutu kuanzisha hii thread, naamini watanzania wapo wengi sana malawi kuliko wamalawi huku kwetu, tofauti ni kuwa waTanzania wakienda huko wanakuwa wachuuzi wao wakija huku wanafanya kazi za hovyo hovyo tu.
 
Jitahidini mtembee muone mfano south afrika tu huenda nusu ya wakazi ni wahamiaji na wengi ama hawana vibali au vibali vimeisha muda wake na fair tu maisha yanaendelea
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,

I doubt if you real are Tanzanian
 
Back
Top Bottom