Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

Hakuna watu ambao wako poa waaminifu na wanyenyekevu kama wamalawi hawa jamaa unaweza kuwadharau kwa muonekano wa kishamba, mtoa mada ni kweli usalama wako unatishiwa na hao wamalawi? Na kwa bahati nzuri umesema ni ma shamba boi na ma house boy, nenda kwao ukaone waKinga na waNyakyusa walivyojaa huko, unless kama wamekudhuru ila malalamiko yako hayana mashiko,
Mkuu hawa watu usiowaone powa ni watu wa hatari wakuogopa kama ukoma. Kwanza niwabinafsi na hawapendi kuchangamana na wengine na niwasiri. Pili, je, wanavibari halali vya uhamiaji?, Tatu watu hawa hawana address Leo wako hapa kesho pale. Kwa kweli ni hatari kwa usalama wa RAIA na Mali zao. Idara ya uhamiaji inatakiwa ichukue hatua za kuthibiti hali hii mapema.
 
Huku city center warundi wamejaa wanatuuzia madafu na machungwa mbona fresh tu!..tuache roho mbaya na kujitisha bila sababu!!!.. kama si mkoloni kutugawa kwa kututenga kwa mipaka huu ujinga wa sijui wahamiaji haramu usingekuwepo. Yaani unamuita mwafrika mwenzako haramu kisa tu mzungu kawatenganisha kwa mipaka? Wtf?
Kweki wewe kalagabaho, nenda huko Burundi uone kama utasalimika.
 
Shamba boy,house girl,awe tishio kwa usalama wa wakazi,?!!! C Mon meen, ur fucking kidding me!!!
Ndugu yangu hao wanatafuta riziki tu,wakipata wanarudi kwao,au wanaomba uraia wanakuwa wabongo wenzetu,ni kama walivyo Latinos kule kwa mkulu Trump,
Watu wabaya kwa usalama wa nchi hii,ni,mafisadi wote,waliojaa kuanzia halimashauri mpaka ikulu,watu ambao maamuzi yao,yanatugharimu sisi na kizazi cha NNE kutoka sasa,na wore hao wapo upinzani,na CCM,
Unaenda hospitali,SAA NNE,bado hujamuona dakitari,polisi wanakaa nyumba za tope,wadogo zetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu,
Wanao sababisha haya,hao ndio hatari kwa usalama,
CCM haifai,inabidi iondoke,upinzani,umejaa opportunist tu,na vibaraka,propagandist tu,hawana jipya,ukimtoa Kafulila,na Zito Kabwe tu,wengine wote,hata wakipewa nchi,hamna kitu,inabidi tuanze upya,
Mkuu Huyo unaye mwajiri kama shambaboy, au house girl au cow boy anaweza kuwa pandikizi na mpelelezi wa hatari. Kama tutaendelea kuwakumbatia hawa mjue usalama wa nchi mnauweka rehani.
 
Kutafuta maisha haikatazwi,wahamie waishi watakavyo sema wafuate sheria alafu wawe na vibali vya kuishi nchini.

Kua uyaone mzee. Kuna ndugu zetu walijilipua huko kwa Trump na kwingineko na wanaendesha maisha kama kawaida. Mkuu hii dunia wote wapitaji. Mimi maisha mengi nimeishi nchi za watu. Nimesaidiwa na watu wasionijua wala kujua lugha yangu!

Usimchukie yeyote. Kwani ukimchukia mfanyakazi mwenzako..akifukuzwa mshahara wake utapewa wewe?

In all, kama wanafuata sheria za nchi waache wapambane!
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
na mwananyamala wengi wao ni malaya
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.
Hatarishi kwa usalama wa wakaazi na nchi
Raia wa Malawi wamekuwepo hapa nchini kabla wewe hujaja mjini kutokea kwenu kulikoungua shoka mpini ukabaki na hawajawahi kuwa hatari kwa Umalawi wao...
Acha ushamba mwana!
NB: Wapo Wanyasa wa Tanzania, wanasema lugha moja na hao unawahofia so inawezekana umechanganya kutokana na ulimbukeni wako.
 
Wa Malawi ni watu waaminifu, wachapakazi. Siyo wahalifu. Kama wabaya mbawapaje kazi? Wivu tu.
 
wewe mtoa mada umewatambua vipi kuwa hao ni wamalawi?je wewe mwenyewe ni mtanzania?je una life book ambayo inakuwezesha kutambuliwa kuwa ni mtanzania?acha hizo xenophobic behaviour.kabla ya kumwambia waziri wako wa wizara ya ndani kutoa life books kwa raia wake,wewe unaangalia ulipoangukia sio kujikwaa
 
Waacheni nao wale keki ya taifa kizuri kula na mwenzio house girl na shamba boy wakiTZ sahivi ni Shida bora hao kuna mmoja namjua kaajiriwa duka la jumla yeye anamwaka wapili hajaiba wakati huyo mwenye duka alikuwa analalamika kila Mara vijana wanamliza
 
Wakuu tunashangazwa na uwepo kwa wingi kwa hawa RAIA toka Malawi huku tegeta masaiti wakifanya kazi za ulinzi, uhouseboy, uhoysegirl, Shamba boy, etc. Watu hawa hawana kibali chochote cha ukazi. Nadhani watu hawa ni hatari kwa usalama wa wakaazi wa huku na usalama wa nchi kwa ujumla. Uhamiaji wamelala?.

hivi na raia wa nchi zingine nao wakisema kuwa hawawataki watanzania waliojazana katika nchi zao tutaelewana kweli kiongozi? malalamiko yako yamekaa kiwivu zaidi kuliko uhalisia.
 
Hatarishi kwa usalama wa wakaazi na nchi
Raia wa Malawi wamekuwepo hapa nchini kabla wewe hujaja mjini kutokea kwenu kulikoungua shoka mpini ukabaki na hawajawahi kuwa hatari kwa Umalawi wao...
Acha ushamba mwana!
NB: Wapo Wanyasa wa Tanzania, wanasema lugha moja na hao unawahofia so inawezekana umechanganya kutokana na ulimbukeni wako.
Haikosi wewe ni mmoja wao ndo sababu unatoa povu la kijinga, subiri utaona, vijana wa mwigulu watakapoingia mtaani kwako.
 
wewe mtoa mada umewatambua vipi kuwa hao ni wamalawi?je wewe mwenyewe ni mtanzania?je una life book ambayo inakuwezesha kutambuliwa kuwa ni mtanzania?acha hizo xenophobic behaviour.kabla ya kumwambia waziri wako wa wizara ya ndani kutoa life books kwa raia wake,wewe unaangalia ulipoangukia sio kujikwaa
Soma Uzi tokea juu utazijua mbivu na mbichi
 
Haikosi wewe ni mmoja wao ndo sababu unatoa povu la kijinga, subiri utaona, vijana wa mwigulu watakapoingia mtaani kwako.

unaonekana labda una bahati mbaya sana ya kutongoza wanawake wa kimalawi na wanakukataa au unazidiwa pesa na wanaume wa kimalawi wanaojua kuchapa kazi hivyo una wivu na hasira nao kwakuwa vyuma vimekaza mno sasa kwako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom