Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Unajua kama ulivosema hizi solutions zingine zinachekesha.. hao wafanyakazi wa majumbani ni mojawapo ya makundi most vulnerable ktk jamii yetu, lakini ni ajabu tupo nao siku zote lakini hatuongei lolote wala kufanya lolote, ila inapotokea tukio kaa hili basi tunaona hawa kama ni watu wa kumulikwa au watu hatari wakati siku zote tunawanyonya jasho lao. ni ajabu kusema kweli.hahahaha!! Mimi nilicheka tu!! Proposed solution zingine?? I can't even start to criticize!