Hawa nika bila la wapi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
77170_126450954082359_100001523653617_166756_471535_n[1].jpg
 
hiyo mkuu ni kwenye pasific islands ..............try solomon islands utawakuta
 
Hawa ni watu wa PAPUA NEW GUINEA.

Ni moja ya makabila yanayoogopwa kwa Ulaji wa watu (Akina Rama wala watu).

Msiwachekee hawa, ukifika kwao wewe ni Nyama ya Mshikaki au Kiti moto pori.

Wanavaa Original Vuvuzela......

Origin-of-the-vuvuzela.jpg
 
Hawa ni watu wa PAPUA NEW GUINEA.

Ni moja ya makabila yanayoogopwa kwa Ulaji wa watu (Akina Rama wala watu).

Msiwachekee hawa, ukifika kwao wewe ni Nyama ya Mshikaki au Kiti moto pori.

Wanavaa Original Vuvuzela......

Mkulu tungo na akili moja!!!!!!!
 
Nilikuwa na rafiki wa karibu kutoka PNG ....................sikumuona na dalili za kula watu au ndo wamjini wamestaarabika?
 
Nimeipenda hiyo hifadhi yao maana muda wote inabidi kitu iwe attention la sivyo inachomoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom