Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 May 29, 2014 #1 Tazama mrembo huyu kwenye picha ya kwanza na huyo mama upande wa kulia kwenye picha ya pili.
kawakama JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,299 391 May 29, 2014 #2 unamaanisha nini mkuu, sijakuelewa kabisa
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 May 29, 2014 #3 Do u mean :A S confused:huyo mrembo kawa used 2 screper?
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 29, 2014 #4 Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 May 29, 2014 Thread starter #5 bysange said: Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine Click to expand... Nadhani make up ina mata sana.
bysange said: Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine Click to expand... Nadhani make up ina mata sana.
Khantwe JF-Expert Member Dec 20, 2012 59,410 119,111 May 29, 2014 #6 Ndibalema said: Nadhani make up ina mata sana. Click to expand... Hiyo ndo habari ya mujini
theki JF-Expert Member Nov 1, 2013 2,722 585 May 29, 2014 #8 Hapo juu enzi zile mpakanjia nae yupo anatoa huduma chini kidogo age imemtupa mkono na wenzetu wakishafika 30's na kazaa kidogo wanabadilika.
Hapo juu enzi zile mpakanjia nae yupo anatoa huduma chini kidogo age imemtupa mkono na wenzetu wakishafika 30's na kazaa kidogo wanabadilika.