Hawa Ni Wanandoa Ama Ni Wahuni Wanaoishi Pamoja?

Ukikuta wanandoa wanaishi vizuri hawagombani ujue mmojawapo ni taahira. Kwasababu haiwezekani watu wawili wenye akili timamu, walilelewa tofauti alafu itokee tu muujiza eti waishi kwa usalama mwanzo mwisho wasitofautiane mawazo
 
Amen, hongera sana Mkuu wangu, vijana wajifunze toka kwetu. Sasa hivi kila nikiweka post yeye picha yetu watu wanasema tunafanana!!! Hahahahahahahaaaaa
Ndoa ina raha sana...ila isiwe kama alivosema mleta mada..mnaishi pamoja lakini kila mtu na ustaarabu wake, ni hatari.
 
Ukikuta wanandoa wanaishi vizuri hawagombani ujue mmojawapo ni taahira. Kwasababu haiwezekani watu wawili wenye akili timamu, walilelewa tofauti alafu itokee tu muujiza eti waishi kwa usalama mwanzo mwisho wasitofautiane mawazo
Ukisikia hawagombani kuna mawili...kwanza inaweza kuwa ni matatizo / ugomvi ambao wao wameuweka kwenye kundi la ugomvi mdogo hivo wanasuluhisha kabla siku haijaisha. Aina ya pili unaweza ukawa ugomvi mkubwa lakini pia wakatumia busara, hekima na uvumilivu wakasuluhisha bila watu wengi wa nje kujua. Na maisha yakaendelea. Kwa hiyo watu waliowazunguka siku zote wataona ni ndoa yenye furaha...(kwa uzoefu wangu)
 
Back
Top Bottom