Hawa ni walevi wa JF?

Sure. hao bila jf kwishney. wanapigwa ma-ban lkn wapi bana hawaelewi wala kukamata! Lakini kimsingi ni ktk watu wanaoifanya jf itazamike uionavyo leo!
 
Mimi si mlevi wa JF ni mnywaji mstaarabu! Walevi huangusha magari ovyo ovyo!
 
Jamani nifafanulieni inawezekana sijaelewa,ni ulevi upi unaozungumziwa hapa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom