Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,323
- 1,713
Wana asili ya wapi? Tukianza na Wamakua?Wote wakuja bro, wayao na wamakua hawana asili hapa Tanzania hata wamwera(wayao waliochepuka)
Wana asili ya wapi? Tukianza na Wamakua?Wote wakuja bro, wayao na wamakua hawana asili hapa Tanzania hata wamwera(wayao waliochepuka)
Wamakonde Msumbiji ingawa kuna wanaosema Angola kabla ya kufika Msumbiji (sina uhakika na hilo), Wayao kuna waliotoka Msumbiji wengine Malawi, Wamakua Msumbiji ingawa pia wapo wanaosema wametokea Madagascar kabla ya kufika MsumbijiWana asili ya wapi? Tukianza na Wamakua?
Hii hoja ni ya msingi sana,archaeologists waliopo humu waje waweke kumbukumbu sawa.Hahahaha.. eti nchi kama Malawi na Burundi zilianza kuishi watu na makabila mbali mbali kabla yetu, na pia baadae zikafanikiwa kupenyeza makabila yao ndani ya ardhi yetu huku sisi tukiwa hatuna wa kupenyeza ndan ya ardhi yao. Aisee inashangaza sana.
Sio kwamba hakuna WAREFU mkuu ila sio kwamba warefu wamejaa hapana, wengi ni wafupi tu. Kila kabila wapo warefu na wafupi, mimi nimesoma na wamakonde warefu mpaka unashangaa, lkn pia wapo wamakuwa warefu na miraba minne. Ila kwa ujumla wake wamakuwa wengi ni wafupi wanafanana na wamwera ambao pia warefu ni wachache. Wamakonde sio warefu na wala si wafupi wengini ni wale wa saizi ya kati ingawa wapo wafupi na wenye maumbo madogo sana. Ushawahi kumuona PASHA?? basi wamakonde wengi mno wako na urefu ule. Lkn sambamba na hilo utakutana na kimo cha kama HARMORAPA kibao pia. Inategemea na ukanda husika na hapa niseme wilaya ya Tandahimba kuna wafupi wengi kulinganisha na sehemu zingine za mkoa wa mtwara ukiachana na masasj ambako wamakuwa kwa kiwango kikubwa ni wafupi na wanene.Ila nimeshaona Wamakuwa warefu tu high school, tena wengi. Hawa akina Mrope, jamaa mwingine Millanzi, Mmeto, Erio etc wote ni ma-tall. Wanaume wengi wao ni hb's. Pia hata huyu demu ni so cute
Hapo nimekupata kidogo. Na Harmorapa nilisikia ni Mmakonde.Sio kwamba hakuna WAREFU mkuu ila sio kwamba warefu wamejaa hapana, wengi ni wafupi tu. Kila kabila wapo warefu na wafupi, mimi nimesoma na wamakonde warefu mpaka unashangaa, lkn pia wapo wamakuwa warefu na miraba minne. Ila kwa ujumla wake wamakuwa wengi ni wafupi wanafanana na wamwera ambao pia warefu ni wachache. Wamakonde sio warefu na wala si wafupi wengini ni wale wa saizi ya kati ingawa wapo wafupi na wenye maumbo madogo sana. Ushawahi kumuona PASHA?? basi wamakonde wengi mno wako na urefu ule. Lkn sambamba na hilo utakutana na kimo cha kama HARMORAPA kibao pia. Inategemea na ukanda husika na hapa niseme wilaya ya Tandahimba kuna wafupi wengi kulinganisha na sehemu zingine za mkoa wa mtwara ukiachana na masasj ambako wamakuwa kwa kiwango kikubwa ni wafupi na wanene.
Kijiografia na dhumuni lao kufika huko inanishangaza.Wametembea. Kulikuwa hamna magari enzi hizo.
,Aisee huu ni utani wa ngumi.ubaya na upana ni tofauti ndugu yangu. wamakonde wao sura zao zinakuwa kama vinyago wanavyovichonga ila sisi upana wa sura unaanzia na kuwa na vichwa vikubwa kwanza
Jiulize kati ya mmakonde na mmakua nani ana ujasiri wa kuzungumza lugha yake mbele ya makabila mengine? Wamakonde wanajivunia kabila lao na hawajifichi sio kama sisi wa Masasi wenzangu wamakua nasi wayao ndo tunaongoza kujifichaficha ni nadra sana kumsikia mmakua anajitambulisha kwa kabila lakeLabda ila wengi husingizia kuwa Wamakuwa! Hilo la ushamba nasikia kwako kwa mara ya kwanza.
Kaka we mmakua, mambo ya kunyata tunajua sisi tu huku kusiniHalafu hapo juu kuna mwana kasema kuwa Wamakonde wengi wana sura zilizokomaa mno(sijajua ni asili yao au mazingira), wafupi na wamenyata. Hapo juu utaiona hiyo quote.
Wengi tu wageni husema hivyo, hata wasio wageni. Ila kama kuna ukweli hivi!!
In Jiwe's voice. Hapo "wamekomaa", unamaanisha nini? Sura/uso au? Halafu mbona Wasukuma wafupi na Wachagga wafupi wapo wengi tu kaka? Unaishi dunia ipi bro?Ukiondoa Watu wa kaskazini (Wachagga, Wameru, Wamasai) na watu wa kanda ya ziwa (Mostly Sukuma, Haya na Kurya)
Makabila mengine yote Tanzania ni WAFUPI.
Hawarefuki kwasababu hawali vizuri, ni wadhaifu dhaifu, wamekomaa na wanapenda Ngoma na Uswahili.
Yaani kuanzia Tanga kwa Wasambaa, wadigo mpaka huko kusini ni WAFUPI.
Lazima niseme UKWERII ndugu zangu
Hahahahahaha pia hata Wamasai wenye sifa hizo wapo, ukitaka uamini tembelea vijijini ambako wanaishi naturally, ndio utajua. Tena wa hivyo wapo wengi mno.Hapana, jamii zote Afrika zilizomix Ubantu na kabila zingine zisizo za kibantu kama Wairaq, Wamasai, Wasomali n.k zina sura nzuri zilizochongoka vizuri
Wabantu wana masura mapana hasa pua na lipsi.
Pia wana nywele ngumu kama katani
Ooooh? Kumbe, karibu Morogoro.Jiulize kati ya mmakonde na mmakua nani ana ujasiri wa kuzungumza lugha yake mbele ya makabila mengine? Wamakonde wanajivunia kabila lao na hawajifichi sio kama sisi wa Masasi wenzangu wamakua nasi wayao ndo tunaongoza kujifichaficha ni nadra sana kumsikia mmakua anajitambulisha kwa kabila lake
Hilo neno hata mimi nalijua, niliwahi kusoma hapo Ndanda na ndugu zenu Wamakonde/Wamakuwa.Kaka we mmakua, mambo ya kunyata tunajua sisi tu huku kusini