hawa ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jul 20, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fidel80[FONT=&amp]‎[/FONT],
  Bujibuji
  saigoni
  [FONT=&amp]Rev Fr Masanilo[/FONT]
  katavi

  historia yao jf inanipa mashaka makubwa
   
 2. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana JF
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,724
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  Mashaka gani inayokupa,....sema kwanza hayo mashaka ndio tutakwambia ni kina nani,.....by the way jibu rahisi umepewa na huyo mzungu hapo juu,........
   
 4. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,223
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Bi Zakia, wewe wewe ndiye unayetakiwa kutiliwa mashaka! Umeingia jana tu humu leo unamashaka na wenyeji!
  Join Date : 10th July 2011
  Posts : 9

  Rep Power : 0
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Duh!unamashaka na wenyeji wako,basi na wewe mgeni utakuwa mtata sana!!
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Inawezeka unatafuta mchumba,kati ya hao yupi umempenda?
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 12,482
  Trophy Points: 280
  Wengine wote wanaishi katika ndoa, isipokuwa Bujibuji anatafuta mchumba nadhani utafaidika kwa taarifa hizi katika zoezi lako zima la kutafuta mchumba
   
Loading...