Hawa ni Mawaziri ambao kwa mwaka 2020 Magufuli unatakiwa uachane nao msaada wao ni mdogo kwa Taifa kwa sasa

Bila shaka tumesherekea siku kuu yetu ya Christmas vizuri. Tumuombe atupatie afya na uzima (pumzi) yake tuuone mwaka 2020. Kwa mapenzi yake tutauona .

Kama mtanzania na raia mwema ningependa kuona nchi yangu ikisonga mbele kwa hatua za nyanja zote za maendeleo na kuona Taifa letu linastawi na watu wake wanaishi maisha mazuri ..ikiwemo uwezo kupata kipato kizuri na kuyamudu mahitaji mhimu ya msingi ya binadamu kama chakula,makazi na mavazi .

Mwananchi kuwa na uwezo wa kumudu gharama za elimu ,maji,mawasiliano ,gharama za matibabu n.k

Ili kufikia yote lazima binadamu mwenye uwezo afanye kazi halali na kulipa kodi ili SERIKALI ijenge miundombinu ya upatikanaji wa elimu ,huduma za afya, miundombinu, mawasiliano maji, kilimo, masoko n.k

Ili yote hayo yatimie Mwenyezi Mungu aliamua kuweka mamlaka za kidunia (viongozi wa kutawala) wenzao na kuwaonyesha njia ya kufikia maendeleo hatimaye watu wa Mungu wastawi wakati huo wakiutafuta ufalme wa mbingu.

Hivyo basi katika nchi yetu kuna viongozi tuliowapa dhamana ya kutuongoza sio kwa mabavu ila njia ya kidemokrasia -njia ya uhuru ,hivyo nami kama mtanzania naomba nitumie uhuru huo wa kuchagua nitoe maoni yangu ninavyoona baadhi ya viongozi waliopewa dhamana katika kuyafikia maendeleo.. mwaka mpya wa 2020 Rais wetu anatakiwa aachane na baadhi ya watendaji wake,kwani baadhi yao utendaji wao umekuwa hauna tija na wala hauna tena jipya kwa Taifa hili.. nijikite kwa baadhi ya mawaziri sababu wao wanaonekana zaidi kitaifa katika utendaji kazi na Rais wetu hawa mawaziri tunawaona pumzi zao zimekata .

1. Waziri wa Mambo nje, Prof. Kabudi
Wizara hii ni nyeti kwa maslah mapana ya nchi, kiuchumi, kimahasiano na kidplomasia. Mh Kabudi ameshindwa katika nyanja zote tatu, ameshindwa kuinadi nchi kimataifa, wawekezaji hatuwaoni tena kuja kuwekeza katika nchi zaidi ya kulumbana na mabalozi wa nchi za nje waliopo ndani ya nchi yetu,ndege zetu zinakamatwa hovyo kila siku kwa kusingizia mabeberu na kukulisha matangopori kuwa kuna watanzania wasio wazalendo ndio wanaochochea kukamatwa kwa ndege zetu.

Waziri Kabundi ameshindwa nyanja za kidplomasia kwa kujiona anajua kuongea na kukuona kuwa anakuzidi elimu hivyo atakaloongea utalichkulia kuwa msomi ameongea na kila kitu itakichukua.

Kabudi amekuwa mropokaji na mtu anaejipendekeza ili kulinda jimbo la lake la njaa aendelee kupata ulaji ashibe alale ..matamshi yake asiyoyapima kwenye media yameleta taharuki kwa nchi wahisani hasa suala la Azory Gwanda kusema amekufa hili jambo lilifanya nchi wahisani kuamini kuwa Azory Gwanda hakupotea hivi hivi..kutakua na mkono wa serikali .

2. Waziri wa Mawasiliano, Kamwelwe
Wakati Mh wa mambo ya ndani akitangaza hakuna simu itakayofungiwa kwa kukosa namba ya kitambulisho cha NIDA yeye ameng'ang'ania kusubiria tarehe 31.12 azime simu za watanzania miloni 10, hadi leo kuna watanzania hawajapata namba za NIDA kwa sababu mbalimbali ,mfano namba kuchelewa kutoka,baadhi ya majina kuhitajiwa kurudia usajili ,wafungwa waliotoka jela walionunua simu na hawakuwa wamejiandikisha popote.

Huenda hayo yote sio makosa ya wizara yake lakini kufungia line milioni 10 hasara inayoingia Kwa Taifa kwenye mchango wa hizo line kiuchumi ni kubwa kuliko kufungia ,cheap reason ya kusema line nyingi zinafanya uhalifu hilo halina tija. Watu milioni kumi utawanyima fursa ya kupata uhuru wa kupata habari na zaidi kukosa kodi .

Sambamba na hilo, waziri ameshindwa hata kutoa support kwa mtanzania mwenzetu wakili Msomi Ndugu Bashir Yakubu anayetaka kuyashitki makampuni ya simu kwa unyonyaji wao wa vifurushi. Hii ndo huwa tunaita poor government support. Mtanzania ameonesha njia hata wizara kumuita tu na kukubali effort yake imeshindwa hapo amepwaya wizara ,huyu apumzike kwa kweli .

Jambo kubwa hata kama la system ni kuvuja kwa mawasiliano ya wateja wa makampun ya simu ...wizara ameshindwa kukemea kadhia hiyo hata kwa maandishi tu ,hii haipo sawa hata kama watu waliovujisha walitoka serikalini yeye kama waziri alitakiwa asafishe wizara yake angalau watanzania tuendelee kuwa na imani ya faragha zetu kutodukuliwa..

3. Waziri wa Mazingira, Mh Simbachawene
Huyu sijui kwa nini ulimrudisha kwenye wizara hii, mifuko mbadala ya plastic iliyopo sokoni haina kiwango wala ubora ,mifuko haionyesh mtengenezaji ni nani , ni kiwanda gani na imetoka wapi, zaidi inachanika ukibebea vitu hata kama haijadhidi uzito, zaidi bei inayouzwa haendani na quality yake ...bado kuna mifuko midogo ya plastic myeupe inazagaa madukani na mabuchani na ilipigwa marufuku.tunajua wazri hawezi kuzunguka nchi nzima lakini ameshindwa hata kufanya ziara ya kushtukiza kujiionea mazingira mabovu ya miundombinu ya maji sehemu za viwanda na machinjio ya mifugo. Wizara haina mikakati ya utunzaji wa vyanzo vya maji wala mazingira ,wiziri amka tembelea hoteli za kitalii zinachafua sana mazingira hasa za wahindi na waarabu .

4. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh Lugola
Huyu waziri amekuwa wa kutoa matamko ya kisiasa tu kwenye utendaji,suala utekaji ameshindwa kulikemea na ukamataji wa waharifu usiofuata misingi ya haki za watendaji wake wa idara ya polisi na kuleta taharuki,mathalani kupishana kauli kati ya RPC wa mkoa wa Dar Es Salaam na kamanda wake wa kanda ya kinondoni ,katika suala hili la kushikiliwa akina Tito Magoti yeye alitakiwa awe msemaji wa mwisho au IGP lakini kila mtu kasema lake, amekuwa figurehead.Wizara imempwaya sana ...Mh Rais huyu muondoe hapo anakuharibia kazi.

5. Waziri wa Kilimo, Mh Hasunga
Katika mawaziri ambao hawajui nchi hii kwenye kilimo wakulima wanataka nini huyu hajui..kwanza ameshindwa kabisa kumshauri Mh Rais suala la korosho. Wakulima wamedhulumiwa fedha zaidi hana mikakati mipya kwenye mazao ya biashara kama Kahawa,chai,mbaazi ,pamba nk ,hii wizara ndo inayobeba ajira za watanzania zaidi 75% wanategemea kilimo kwa ajili ya kuendeshea maisha. Waziri yeye yupo tu kugombana na bodi za vyama vya wakulima na wafanyabiashara, kutumbua tumbua viongozi wa vyama vya wakulima ...

MH.RAIS BORA UKAFANYA MABADILKO YA MAWAZIRI HAO ILI KUYAFIKIA MAENDELEO UNAYOYATAMANI.

Huu ni mtazamo wangu.

Nawatakia wote kheri kwa Mwenyezi Mungu tuvuke salama mwaka huu wa 2020 na tukiwa na Amani na Upendo

Ijumaa Kareem.
Umekosea kidogo .Yani magufuri mwenyewe hata kuwepo mwisho wake ni 2020 kwahiyo ataondoka na Baraza lake lote la mawaziri
 
Mambo ya nje unajidanganya,kafie mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwele unajidanganya kafie mbele

Ningekuwa mimi ningeanza nahawa
1. Ndalichako, nakumbuka Mh rais wakati anaomba ridhaa ya kuwa rais wa hii nchi ali apa kabisa hatamvumila mtu yeyote anae mnyima mwanachuo mkopo. Tena akasema ati hela yenyewe ya mkopo!!! Sitamuacha. Leo Ndalichako ana wafukuza vijana chuo kwa kudai haki zao?? Anataka wakajiuze?
Wa pili ni waziri anae husika na NIDA ni aibu tupu tunayo iona kwa hiu taasisi. Mimi binafsi huu ni mwaka wa pili tangu nijiandikishe na sijapata kitambukisho. Mwenye ile kampeni ya Mh rais kuhusu mikopo naomba aiweke hapa.
Wa tatu waziri wa sheria na katiba. Yaani imekuwa ni utamaduni hivi sasa ukipandishwa mahakamani hata kwa kosa la kukojoa barabarani charge sheet ni kutakatisha pesa na uhujumu uchumi. Hii ina ondoa hadhi ya tasnia ya sheria. Mh rais anaongea kwa uchungu watu kubambikiwa kesi lakini wasaudizi wske wana jitahidi kujaza mahabusu gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
waziri wa kilimo ni kweli hana jambo analofanya.nimda wa BASHE kuwa waziri kamili ili afanye kazi iliyosahihi
Bashe anajua hata jina la mdudu mmoja wa mazao? Yaani tukisikia mtu anasimulia ya mtandaoni tu tunaona ni waziri material? Kuna watu wamejaliwa kukosa aibu. Wanajismea utadhani wana ufahamu kumbe waaapi!
 
Lukuvi is best
Jafo uchaguzi wa serikali za mitas umempa zero. Hastahili hata kuitwa Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Lukuvi ni lini amekuwa bora? Umemsahau utawala uliopita alikuwa anafanya nini? Tunataka mtu bora, siyo anayeonesha ubora baada ya kusimamiwa vizuri. Siku msimamizi akijisahau naye hovyo! NO!
 
Bashe anajua hata jina la mdudu mmoja wa mazao? Yaani tukisikia mtu anasimulia ya mtandaoni tu tunaona ni waziri material? Kuna watu wamejaliwa kukosa aibu. Wanajismea utadhani wana ufahamu kumbe waaapi!
Mahiga hajasomea sheria lakini ni waziri wa sheria
Ummy mwalimu amesomea sheria lakini ni waziri wa afya ...hao je watolewe huko kisa sio wajuzi wa hizo sekta wanazosimamia ...
 
Angalia na uwezo wa mtu kuwatumia wataalamu ndani ya wizara. Wazirisiyo mtalaamu wa wizara na anatakiwa kuwasikiliza wataalamu. Kwa tabia za baadhi ya watu ni vigumu kuwapa wizara maana hawana tabia ya kusikiliza. Bashe ni mmojawapo. Anajionesha kama mtaalamu wa kila kitu wakati tunajua ni elimu ya internet.

There is more than rhetoric sentiments. Kilimo ni zaidi ya jukwaa la siasa.
 
Lol,
Huna hoja jombaaa.
Mkuu 'Culture Me', mimi sina tabia ya kibaguzi, lakini nachukia baadhi ya tabia ambazo si za kawaida; na hasa mtu/watu walio na tabia hizo ambazo sio za kawaida katika jamii wanapotafuta njia za kulazimisha/shinikiza jamii nzima izikubali tabia hizo kwa kutumia nguvu badala ya maarifa, na kwa utulivu ili jamii ipate uzoefu nazo.

Huenda huwezi kunielewa ninachozungumzia.

Ngoja nitoe mfano halisi: kuna kitu gani cha manufaa kinachoweza kutokana na watu wawili wa jinsia moja wakawa wanajionyesha mitaani Dar es Salaam kwamba wao ni wapenzi wanaopendana sana kuliko kitu kingine chochote maishani mwao? Acha tu hao watu wa aina hiyo. Chukulia hata mfano wa mtu, mme na mpenzi wake mwanamke. Hata leo hii si kawaida kwa watu hawa kujitangaza kwa mabusu, n.k. wawapo hadharani. Hizi ndio tamaduni, hata kama baadhi yake tunaziondoa, hasa zisizofaa kuendana na nyakati.

Nimeeleza nisivyotaka kuonekana kuwa na tabia ya kibaguzi, kama mambo ya watu yanafanyiwa faraghani na hawakusudii kulazimisha jamii ibadili mwelekeo kwa spidi wanayotaka wao.

Kama bado hunielewi, basi yote tuyaachie hapa
 
Sasa hapa na wewe umechangia nini?
Hivi mlipelekwa shule kufanya nini? Na si ajabu unayo digrii kabisa?
Umechambaa we hadi umejipaka mavi unaona sawa tu..popoma nini digrii ndo lugha gani....watu wa mbwinde bana..basi umezoea wapanga kijiwenimkwenu na kashahada kako ushajiona great thinker...popoma sana
 
Kalamu1,
Dah hivi we jamaa huwa unasoma unachoandika...ni kama upo insane hivi...yani mara umeongelea mbwa kapanda baskeli, sijui trump rais wa tanzania full kuchanganya mada...sio kosa lako machizi wengi Tanzania
 
Umechambaa we hadi umejipaka mavi unaona sawa tu..popoma nini digrii ndo lugha gani....watu wa mbwinde bana..basi umezoea wapanga kijiwenimkwenu na kashahada kako ushajiona great thinker...popoma sana
Eeenh, sasa unajisikiaje baada ya mharo huu?
 
Back
Top Bottom