Hawa ni Mawaziri ambao kwa mwaka 2020 Magufuli unatakiwa uachane nao msaada wao ni mdogo kwa Taifa kwa sasa

Dah hivi we jamaa huwa unasoma unachoandika...ni kama upo insane hivi...yani mara umeongelea mbwa kapanda baskeli, sijui trump rais wa tanzania full kuchanganya mada...sio kosa lako machizi wengi Tanzania
Of course, kwa kilaza kama wewe huwezi kuelewa kilichoandikwa hapo. Muulize aliyepewa ujumbe huo atakueleza uelewe.
 
Sasa ukiongelea mapungufu mawili matatu si niwote watatoka maana kunashida pia kwenye elimu,maji,uwekezaji,viwanda,fedha,uvuvi,afya nk navyote vinakauzito!!
 
Uyo
Mimi sijaona waziri aliyefanya vizuri wote Ni walewale tu, hata Pm bado Hana jipya kabisaaaaa!!

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Uyo PM ndo hana jipya kabisa na yeye pia anamuunga mkono bosi wake Bernard Membe rejea kwenye korosho alivopigwa pini......
 
Kibaha walimu walichimbwa mkwara na DC Asunta wachangie 20,000/= toka August 2019 mwisho October 2019 akitaka majina ya wachangiaji KISA yajenge madarasa VP setikali imeshindwa?

Pongezi wale wanaojitambua wameuchuna HV police wanachangia kujenga police office au madaktari kujenga hospital
Usisahau makatibu wakuu wa hizo wizara na wakurungenzi wake.Pia umemsahau kumtaja mama ndalichako waziri wa elimu.pia umesahau wakuu wa wilaya wanatakiwa kupandishwa vyeo ,mkuu wa wilaya ya Hai,wilaya ya meru, wilaya ya same,wilaya ya Geita,wilaya ya misungwi,wilaya ya dodoma , kigamboni, bila kuwasahau wakuu wa mikoa wanahitaji kupumzika mkoa wa njombe, Tanga , iringa, kagera, mtwara.wakuu wa wilaya wa kupumzika wilaya ya Serengeti,mbogwe, Moshi, ilala,butiama,ilemela,songwe, kondoa, makete, igunga, tabora mjini, tarime, monduli, wakurungenzi wa Halmashauri wanahitaji kupumzishwa,Halmashauri za nyang'wale, songwe, Moshi manispaa, babati mji, tanga jiji, tarime, mbogwe, simanjiro, musoma manispaa, nzega, wakurungenzi wa Halmashauri wanahitajika kupanda vyeo mkurugenzi wa jiji la Arusha,jiji la dodoma,mji geita,kahama.maafisaelimu mkoa wanatakiwa kuondolewa kabisa ni mkoa wa Mara,mkoa wa njombe,mkoa wa Kilimanjaro, mkoa wa simiyu,mkoa wa singida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom