Hawa ni mama na mtoto wake

msimlaumu jamani...kaamua kujizalia her very own boyfriend cz wengine stress....
Si kuna kale kamsemo sijui ukitaka wako peke yako sijui ninii....
 
Mama kamua kuwa kama mkulima anakula alichopanda, by Afande sele. sikilize wimbo wake acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe kaeleza ujinga wote huu, mnaofanya nyie Dada zetu na hata kaka zetu kubinjuka na vikinda vyao.
 
Watu wenye maruhani utawajua tu. ....angalia huyu anamtetea mwenzie asilaumiwe !
We fala nini...ht lugha ya picha huelewi kwamba namaanisha jokes... tena unikome naona unanifatilia fatilia sana wewe kenge sio mara ya kwanza ...unatafuta bwana sio...endelea....nitakutafutia
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
We fala nini...ht lugha ya picha huelewi kwamba namaanisha jokes... tena unikome naona unanifatilia fatilia sana wewe kenge sio mara ya kwanza ...unatafuta bwana sio...endelea....nitakutafutia
Hahaha taratibu mkuu
 
Hahaha taratibu mkuu
Huyu boya si mara ya kwanza kunichokonoa..i have never quoted his post hata siku moja.....namshangaaa...

Nilichoandika pale juu its just a joke i can never be stupid kupenda upuuzi wa yule mama...waelewa wa lugha wameelewa
 
We fala nini...ht lugha ya picha huelewi kwamba namaanisha jokes... tena unikome naona unanifatilia fatilia sana wewe kenge sio mara ya kwanza ...unatafuta bwana sio...endelea....nitakutafutia
Hata babiyo ndogo unampa weye umekaa kimwendokasi teh teh!
 
Ndio maendeleo ya nchi zilizoendelea hayoo!hadi yatufikie huku kwetu ntakuwa nishakufa.
 
Wanawake wengi siku hizi wanawabusu busu sana watoto wao wa kiume na sio kosa kumbusu mtoto lakini ni lazima ujue ni mahali gani katika mwili wake unatakiwa kupabusu. Mwanamke huwezi na haitakiwi kumkiss mtoto wako wa kiume kwenye midomo(Lips), vivyo hivyo na mwanaume huna ruhusa kumkiss mtoto wako wa kike kwenye lips hata kama ni mdogo namna gani.
Huyo mama kwenye hizo picha amevuka mipaka ya maadili kwa mtoto wake na imefika mahali unaona hata mtoto naye sasa amemshika makalio. Hii ni mbaya sana, lakini sishangai hata kidogo sababu wapo wanawake wanaofanya mapenzi kabisa na vijana wao wa kiume. Na akina baba pia kila siku tunasikia wanakula mabinti zao.
 
Back
Top Bottom