Ni jambo la kushangaza kuona tuna engineers wengi ambao wamekuwa na msaada mdogo kutokana na elimu kwanza waliyopata ambayo inawaandaa kuwa viongozi ktk engineering na si vinginevyo !
usisishangae siku hiz kumuona Engineer anakuwa Bank Teller. Tatizo ni mfumo wa nchi ni mbovu , tunaomba Serikali wangekuwa wanawaajili engineers kama Madaktari wanavyoajiliwa , lakini kwa style iliyokuwepo sasa hiv , serikali inashindwa kuwaajili watu wao ,ikitokea project yoyote wanachukua engineers toka nje , kweli tutafika wakuuuu . Engineers wengine wanaamua kuungana na kufungua kampuni ,bcoz hawana fedha wanashindwa kuiendesha kampuni yao.... Tunaomba Serikali mutafute Suluhisho la suala hili....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.