Hawa ni baadhi ya Mawakili kati ya 386 wa Freeman Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Hii ndiyo first eleven ya Mawakili wa Mbowe. Ni baadhi tu, kila siku wanakuja mawakili wapya.

Hili ni Jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe kwenye kesi yake ya Ugaidi.

Zaidi soma: Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

#freemanmbowe
@PKibatala
@PMadeleka
@Advocate_Jebra
johnmallya
20210918_152800.jpg
 
Halafu wanashambulia kwa formation kali kabisa inayotoboa matundu kibao ktk ushahidi wa Jamhuri unaowakilishwa mbele ya Mahakama, kiasi karatasi ya mashitaka inashindwa kuitwa karatasi tena kutokana na wingi wa matundu.
 
Hii ndiyo first eleven ya Mawakili wa Mbowe. Ni baadhi tu, kila siku wanakuja mawakili wapya.

Hili ni Jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe kwenye kesi yake ya Ugaidi.

Zaidi soma: Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

#freemanmbowe
@PKibatala
@PMadeleka
@Advocate_Jebra
johnmallya
View attachment 1943578
Hata mawakili wakiwa alfu moja hawawezi ku pre-empty hiyo kesi kwa ujanjaujanja. Kama kesi kuu ina ushahidi lazima akutane na mkono wa sheria haki etendeke. Utawala wa haki ndio inatakiwa kutawala sio hii kitu tunasema utawala wa sheria halafu wanasheria wanamanipulate sheria.
 
Back
Top Bottom