Hawa ni Baadhi ya Maaskari ambao sitawasahau. Hawakuwa wa kawaida

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,428
Tunapozungumzia askari/ polisi kwa asilimia kubwa tunazungumzia waovu walio katika jeshi hilo. Wapo wachache wastaarabu. Wenye uungwana, elimu na weledi.

1. Kipindi kifupi cha nyuma wakati bado road licence haijafutwa siku hiyo nilipata dharura nikachukua gari ambayo road licence na bima vilikuwa vimeisha muda mrefu kiasi.

Nikiwa barabarani asubuhi trafiki mmoja akanikamata alipokuwa akipita kukagua gari zikiwa kwenye foleni.akanitoa pemben ya folen.akaniuliza juu ya makosa hayo mawili.kwa kweli nilimwambia tu sina excuse yoyote.ni makosa. Jamaa aliniangalia akanipa darasa dogo la kutolipia gari bima.then akanambia nichukue namba yake ya simu baada ya week nimpigie simu na picha nikiwa nmelipia vitu hivyo. Au nimwoneshe.akanipa na jina lake na Cheo Konstebo xxx. Alikuwa kijana mdogo tu smart aliyesoma. Ndani ya week nlifight nikaondoa yale makosa.nikamtafuta we became friends.hakuchukua hata shilling yangu.

2. Huyu ni afande ambaye alinikamata mida ya saa kumi na mbili kuelekea saa moja. Gari nlikuwa nmewasha taa za parking mida hiyo hakukuwa na giza sana taratibu kwenye folen. Alipiga mkono nipark pembeni.nikatii akaja kunambia gari taa moja haiwaki.sikuwa nami najua tatizo hilo.mambo ya magari na umeme anything can happen anywhere.nikamweleza sikuwa nafaham but si shida sababu nikiwaza headlights zitawaka zote.

Akasema hapana hizo hazitakiwi maana ni fulu(kama alivyoita yeye) nikamwambia hapana siyo full headlights ni just headlights naomba nimwoneshe.akagoma na kuniuliza tunafanyaje.nikamwambia hatuna cha kufanya isipokuwa yeye kunielewa.aligoma wakati huo ameshikiria DL yangu maana ndo ilikuwa kitu cha kwanza kuomba.akalazimisha liwe kosa.akaandika baada ya mimi kumgomea kumpa anything.

Alilazimisha kosa.hakutaka kunielewa.nlimtizama sana kwa umakini.sana mwenzie alikuja akauliza tatizo nini nikamweleza...akainama chini akaondoka kwa huzuni. Niliendelea kumwona yule askari sehemu ile mpaka siku moja nlipokuja kutana naye ofisini ana shida sana na anahitaj msaada.hakunikumbuka.nlimkumbusha bado alipata shida maana amewatendea wengi uhuni.mwishowe akakumbuka.alifadhaika sana.lakini nilimpatia mtu wa kumsaidia.

3. Askari huyu nlikutana naye posta,gari yangu ilikuwa imepata crack kwenye kioo kutokana na car perfume.bahati mbaya was the same day nmekuta kioo kimepata ufa sababu ya kuiacha gari juani na pia kuweka car perfume eneo hilo(kwa mujibu ya wataalam) alinisimamisha.akanieleza kuwa kile kioo ni hatari.nikamweleza tatizo wakati huo akaja mwenzie asiye elewa na kutaka kuandika.huyu wa kwanza akamwambia hamna haja.askari huyu mstaarabu akanambia nikashughulikie hicho kioo wengine hawatanielewa.nikamshukuru nikaondoka.

4. Ulitokea wizi nlipokuwa naishi waliniibia side mirrors za gari.nikatoa taarifa polisi.nlikuwa mgeni sehemu hiyo.mimi na jamaa zangu tulikamata jamaa mmoja ambaye inasemekana ndo alikuwa na tabia hizo.nikamweka ndani siku mbili.siku ya tatu ndugu zake wakaomba atolewe kwa dhamana.nikaitwa nami niwepo.askari yule akanambia sababu napoishi ni mgeni wasije wakanichukia kwa kumweka jamaa yao ndani tena ni famous sana pale mtaani na kunihujumu au kunitenga basi.nimwachie ila wao watamwambia masharti kadhaa.sure...wakakubali kumwachia kwa mashart hayo na hawakuchukua hata shilling.suala likaisha kindugu.alitumia busara ambayo si ya polisi wa kawaida.

5. Huyu askari wa barabarani alinisimamisha mwaka mmoja iliopita nikasimama kushoto.akaja moja kwa moja dirishani ilikuwa ni saa 12 jioni akanisalimia na kunambia anaomba sana kama nina tsh 2000 nimsaidie hajisikii vizuri.anunue dawa.nikajisikia huruma.nikatoa 5000. Akanambia nisiondoke akaenda kwa dereva wa boda boda akaomba change.aliporudi na kunirudishia 3000 nlimkatalia. akasema hapana.yeye alihitaj 2000 tu basi.na akanilazimisha nichukue change.akashukuru sana tukaagana.huyu alikuwa na roho ya tofaut sana na askari wengine.nlikuja ambiwa siku moja ni askari mstaarabu sana na mwenye ubinadamu. Hachukui rushwa haonei.hafumbii macho makosa hatarishi kwa usalama wa raia ila yasiyo hatarishi sana anakupa darasa na kukupa onyo asikushike tena kwa kosa hilo.

Nliambiwa ni askari ambaye hukagua matairi ya daladala na anakamata watu wanaobeba mishkaki.hachukui rushwa.anafuata taratibu za kazi...madereva hawamchukii...sababu hawaonei.na hachukui rushwa.wanamweshimu na kumpenda.haandiki adhabu kabla hajakueleza na kukuuliza kama umeridhika au hujaridhika.but pia anajua kureason. Siku hizi simwoni mahali pale.nataman kumtafuta sana.

Askari nanyi pia ni binadamu.tunaweza kutana mazingira mna shida TENDENI TU HAKI.MSIONEE MTU SABABU SHERIA ZINAWALINDA.
 
Wako askari wema wanaofuata weledi na sheria za kaz zao. Pia wana utu.
Hawa askar ni wachache sana kilinganisha na idadi ya askari ambao ni magugumaji kichwani.. wao ni ubabe muda wote
 
Kuna huyu wa juzi tarehe 09.08.2018 alikuwa anaongoza magari mataa ya chang'ombe (Nyerere/Kawawa road) mida ya saa kumi na moja na nusu jioni, nilikuwa natokea kibaruani mjini/kamata. Kufika hapo akatusimamisha kwa ghafla sana tulikuwa spidi sana ikabidi nisimame mbele kabisa nikawa nimekanyaga zebra kidogo(sipendi kusimama nimekanyaga zebra) basi akaanza kuruhusu magari ya kutokea veta, akaruhusu muda mrefu sana zaidi ya (dakika 15) tumesimama hapo mpaka watu wakawa wanashangaa sana. Baadae akaruhusu wa kutokea karume kama dakika 10. Akazuia akarudi tena upande ule ule wa veta akaruhusu tena (zaidi ya dakika kumi) gari moja ikafanya makosa akaiamrisha ipaki pembeni kwenye petrol station akaacha foleni hiyo ikiendelea kutiririka akaenda kuiandikia kosa gari ile(sisi tumesimama hapo zaidi ya dakika 35) akaingia askari mwingine barabarani bila kuwasiliana na yule wa mwanzo, akazuia gari za kutoka veta AKARUHUSU TENA ZA KUTOKA KARUME (hakujua yule aliishia wapi) ZAIDI YA DAKIKA 15. Nikawaza nikasema hii foleni yetu ya kutokea mjini itakuwa imefika ocean road!!!! Tulipofunguliwa tulikuta foleni ya kutoka Tazara kuja mjini imefika karibu na TAZARA. TUNAHITAJI UTAALAMU KATIKA KUONGOZA MAGARI,IKIWEZEKANA HAWA ASKARI WAKAFUNDISHWE MAMBO YA QUEIWING (arrival & service rate) HAIWEZEKANI MIMI NIKO KWENYE FOLENI MBELE KABISA LINATOKA GARI TANDIKA LINAVUKA KABLA YANGU!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom