Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

Mashahidi wanaanza kutoa ushahidi kesho eneo lililotajwa hapo juu,hv picha za video zinaweza kutumika kama ushahidi mahakamani?
 
Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia upinzani kupungua bungeni. Hata kama wewe ni mfuasi wa chama tawala lazima uwe na kuridhika kwa kuwepo kiwango fulani cha upinzani. Bila upinzani mambo yatakuwa kama wakati ule wa chama kimoja. Tena tumshukuru Mungu kwani Mwalimu yeye alikuwa kama chama cha upinzani kwa wabunge na wanachama wenzake. Tujifunze hata katika upinzani katika vitu kama football. Yanga ikishuka daraja itakuwa Simba hana mpinzani na hata kiwango chake cha mpira kitashuka. Hivyo UPINZANI NI MUHIMU.
 
kwa ushahidi gani! yaani ile kesi ya Arusha hata kama Jaji ni Makamba bado Lema ataendelea kuwa mbunge wa AR

Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.

Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
 
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo aonekane.
Inshort tunajuta kumchagua kuwa mbunge na hatutorudia kosa hili kamwe na yeye anajua hili.

Wananchi wa Ubungo au wewe?
 
Back
Top Bottom