Hawa Nghumbi amrudisha John Mnyika Mahakamani...

UPUUZI MTUPU
mm hapa wala siwahusishi magamba kuhonga kwani kwao ingekuwa
rahisi kumhonga jaji mmoja kuliko kuhonga majaji wa rufaa
anapoteza mda na atalipa garama za mahakama kuu alizoamriwa
pamoja na riba na pia atalipa garama za mahakama ya rufaa
mawakili wengine ni vimeo kushauri mteja wao kwanza pesa mbele mengine yatajulikana huko huko
 
Wala sio maamuzi ya Hawa, haya ni maamuzi ya wanaotaka kumpunguzia Mh. Nyika kasi ya uwajibikaji akiwa kama mbunge.
 
Mahakimu wa kushughulikia kesi za kifisadi hakuna, wanacheza makidamakida na kesi za uchaguzi! Hata kama atashinda in 2013, aapishwe, ashukuru wananchi, azoee mjengo, muda wa kazi umeisha. Anarudi kuaga wananchi!

Next time hata wanaccm hawatampigia kura hata moja, a-appeal on zero votes against the massive!
Mkuu huyu mama angelikuwa na akili badala ya kupoteza muda na rufaa zisizo kichwa wala miguu angeanza kujipanga na mkakati uchaguzi wa 2015!!! Kama ameona watu hawamtaki basi anganganie CCM ya Mhe Makamba amsaidie kulipa gharama za mahakama!!! Labda lengo lao ni kumuyumbisha Mhe Nyika badala ya kutilia maanani maendeleo ya jimbo azame kwenye issue za mahakama wapate namana ya kumsuta!!!

 
Mkuu huyu mama angelikuwa na akili badala ya kupoteza muda na rufaa zisizo kichwa wala miguu angeanza kujipanga na mkakati uchaguzi wa 2015!!! Kama ameona watu hawamtaki basi anganganie CCM ya Mhe Makamba amsaidie kulipa gharama za mahakama!!! Labda lengo lao ni kumuyumbisha Mhe Nyika badala ya kutilia maanani maendeleo ya jimbo azame kwenye issue za mahakama wapate namana ya kumsuta!!!


Jimbo lipi? msituletee masihara hapa.
 
mnyika anawajua magamba vzr sn + mbinu zao chafu!so cna wasiwasi na hlo,najua atashinda 2!na ww Hawa unataka,PART 2 eeh!?subiri uone
 
Mimi naona anaumwa mtikisiko wa ubongo huyu mama. Si aseme tu anataka kukwepa kulipa au prolong gharama za kesi ya awali? Kama hana pesa akawaangukie chadema watamsamehe tu. Tena kule mahakama ya rufaa kuna majasi hatari na watamwaibisha sana huyu mama!! Subiri.
 
Kama kweli sisi tunaheshimu utawala wa sheria na demokrasia pia lazima tukubali kuwa ni haki yake kikatiba kukata rufaa! Acheni aende huko mahakamani tena haki ndio itapatikana huko! sasa kama mahakama zetu hazipo huru ( kama wengi tunavoamini na tulivoshuhudia segerea et al) basi hilo ni swala jingine la kushugulikia kwenye katiba mpya kwamba tufanyeje ili mahakama ziwe huru zisiwe remote controlled bna wanasiasa walio madarakani??
sio kila haki lazima uitumie... kuna wajibu pia wa kusaidia serikali kwenye kutumia vyema rasilimali zake..... haki na wajibu lazima viende pamoja

ana haki ya kukata rufaa, lakini pia ana wajibu wa kutopoteza mda wa watu kwasababu tu za kisiasa
 
kukata rufaa ni haki yake ila wasiwasi wangu haangalii upepo anamawazo mgando kuwa siku moja atashinda ubunge,kama jk kaona hafai ukuu wa wilaya ni implication kuwa ubunge hawezi kabisaaaaa,mbona wenzie kina kilasi kawapa mchongo
 
Kuna Kutafuta Haki na Kuna kutafuta Upuuzi, Huyu mama sasa ni Upuuzi, Hajali maendeleo ya watu wa Ubungo, kama ana akili angetumia muda mwingi kuwa karibu na wananchi kufanya shughuli za maendeleo na sio kuhamia mahakamani, nadhani she is attention seeker, bahati mbaya she is getting a wrong attention.

Mkuu lakini haki lazima uitaabikie hadi kuipata, ngoja tuone kama kweli anatafuta haki ama ni delaying tactics
 
Nazidi kuwadharau watu wa chama hiki wanaendelea kutupa mwangaza kuwa wanataka kuongoza wao tu hata nchi ikiuzwa kwao sawa tu,kwa mambo wanayotufanyia bungeni bado wanaona haitoshi wanataka kuongezeka ili kutumaliza kabisa. Ipo siku wanyonge wataelewa km Arumeru walivyofanya
 
Hawa Nghumbi kwani maisha bila ubunge hayawezekani ki ukweli jimbo la Ubungo huwezi kushinda...jipange na kazi zingine.

kwa mara ya kwanza leo nimekupa LIKE kutokana na kuongea jambo la msingi mnoo, Huenda ukombozi wa taifa unakaribia
 
Back
Top Bottom