Hawa ndugu zatu wa +254 wana matatizo gani au ni umbumbumbu.

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
816
1,080
Juzi nilikua naskiliza redio CITIZEN majira ya sa tatu baada ya tarifa ya habari mara naskia mtangazaji anauliza swali na kuahidi Ksh5000 kwa atakaepatia swali lenyewe lilikua " jakaya mrisho kikwete alikua president wa nchi gani" hivi ni kwel wakenya hamjui au yule mtangazaji ni muongo

Sent using boeing 737 max8
 
wanazenguliwa tu na watangazaji ili ujumbe zitumwe nyingi,,, hio ni nji ya kutengeneza hela sio eti hawajui
 
Juzi nilikua naskiliza redio CITIZEN majira ya sa tatu baada ya tarifa ya habari mara naskia mtangazaji anauliza swali na kuahidi Ksh5000 kwa atakaepatia swali lenyewe lilikua " jakaya mrisho kikwete alikua president wa nchi gani" hivi ni kwel wakenya hamjui au yule mtangazaji ni muongo

Sent using boeing 737 max8
Hata Tanzania hii wapo watu wengi tu ukiwauliza swali hilo hawawezi patia wewe jibu sembuse hao majirani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom