Hawa ndo wazee wa tii sheria bila shuruti

fortuner

Member
Jul 9, 2013
75
97
Nchi ngumu sana hii imagine hawa ndo wanapaswa kua mfano wa kutii sheria bila shuruti.

IMG_20211116_120119.jpg
 
Kwa mujibu wa forwarded text iliyosambaa huko WhatsApp Inasemekena ,

Dereva wa lorry ndio alisababisha hiyo ajari na yupo mahabusu.

Inasemekana ni ajali iliyohusisha gari nane.
 
Kwa mujibu wa forwarded text iliyosambaa huko WhatsApp Inasemekena ,

Dereva wa lorry ndio alisababisha hiyo ajari na yupo mahabusu.

Inasemekana ni ajali iliyohusisha gari nane.
Hapo mbona kama sijaelewa vile. Maana naona kama vile hao polis walitaka kuovertake mwenzie pasipo kuangalia mbele kama kuna gar inakuja
 
Yani kama kuna watu sitaki mazoea nao hapa duniani ni polisi. Nadhani hata wao wakiniona tu wanajua jamaa hatupendi.
Nahisi wewe unawapenda aisee me nikiona zile uniform nachafukwa
 
Back
Top Bottom