hawa ndo watumishi walio tunukiwa nishani kwa mwaka 2012

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka Khamis (Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Bi Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa poooozi.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu Gurumo-Habari,Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utunzaji Mazingira daraja la (I) Bw. Reginald Abraham Mengi_Kamati ya Nishani, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Bw. Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kutunukiwa.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Ushupavu, P.8183 Maj M.A Hassan-Mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. mia
 
nimevutiwa na uvishaji nishani kwa Ruth Rashid
 
Back
Top Bottom