Hawa ndo watanganyika waliojisahau na kuua ndugu zao!

hao pamoja na serikali yao si watanzania ni wanyama wa kuzimu
 
Wapo kazini. msiwafundishe cha kufanya. msitake watumie akili wakati nyinyi hamchanganyi akili za kuambiwa na zenu.
Alaaniwe Dr. Slaa kutumia raia kutekeleza azma yake ya kumwaga damu.
Polisi eee!! msiruhusu kikundi kidogo kikachafua amani ya watanzania tulio wengi.
 
tatizo asilimia kubwa ya polisi ni chini ya form four kwahiyo si kosa lao ni kosa la upeo wao ni jamii ya watu wenye nguvu ndogo ya uchumi, uelewa na ata vipaombele ..........polisi lazima wajue kuwa ukombozi unaotafutwa ni pamoja na kuwatoa wao kwenye vibanda vya bati kutoka juu mpaka chini na pia kuwafanya wao wasitofautiane na wafanyakazi wengine kama hazina na tra

polisi watu wanatafuta ukombozi wenu msiwapige kuzeni uelewa msiwe wazivu wa kujikomboa
 
Hivi kuna mwana jf yeyote ambaye anaweza akawa na picha zinazoto sura walau hata ya askari mmoja tu wa Kikwete pindi alipokua akitekeleza amri ya kuwanyunyizia Wa-Tanzania wenzake risasi kama maji.

Yeyote mwenye picha za aina hiyo atuwekee hapa jamvini kwani wananchi tunataka kuwatambua na pia kupeleka salamu za aina hiyo hiyo ama kwa mhusika au vinginevyo uchungu huu utakavyotutuma.

Tafadhali mwenye picha hizo asicheleweshe.
 
Wallah nikimpata mmoja leo nitakuwa mgeni wake!!
 
Wapo kazini. msiwafundishe cha kufanya. msitake watumie akili wakati nyinyi hamchanganyi akili za kuambiwa na zenu.
Alaaniwe Dr. Slaa kutumia raia kutekeleza azma yake ya kumwaga damu.
Polisi eee!! msiruhusu kikundi kidogo kikachafua amani ya watanzania tulio wengi.

Ulaaniwe wewe binafsi na kizazi chako na hata mbegu/mayai yako yalaaniwe pia. Utokako na uendako ulaaniwe. Ulalapo na uamkapo ulaaniwe. Ilaaniwe mikono yako na miguu yako. Yote yatokayo kinywani mwako yawe ni laana kwako na kwa wote wanaokutegemea. Pum%1(e na sh..@-i wewe.
 
Lakini ipo siku ambapo watu watakula nao sahani moja. Napenda hiyo siku ifike mapema.
 
hao pamoja na serikali yao si watanzania ni wanyama wa kuzimu

Wanadhani ni rahisi hivyo kutawala watu kwa mabavu?

Ni makosa kudhani ustahamilivu wa wananchi ni udhifu au kukosa nguvu, na nchi inahitaji kichaa mmoja tu kuiharibu. Na CCM na hawa toy soldiers wao soon wata-realize hili.
 
hawa ni askari wanafanya kazi kwa amri, hawana tofauti na wafuasi wa chadema wanafanya mambo kwa amri.

Askari walipewa amri ya kutawanya maandamo kwani yalikuwa yamekatazwa kwa sababu IGP alizotoa ila walinde vizuri mkutano ambao ulikuwa halali ambapo viongozi wa chadema wangesema yote waliyotaka kusema na watanzania na dunia yote ingesikia ujumbe waliotaka kuutoa

Wafuasi wa chadema bila kutumia akili ya kupambanua mambo kama walivyo askari badala ya kwenda kwenye mkutano wakapokea amri toka kwa viongozi wao ya kuandamana.

kimsingi viongozi wa chadema kama ilivyo viongozi wa polisi wanastahili kulaumiwa kwa kufanya ujinga ambao umeleteleza watu kuuwawa na kuumizwa vibaya, huo ndio ukweli tukiachana na mambo ya ushabiki.

Nina aamini viongozi wa chadema walikuwa na nia ya kuzungumza na watu kufikisha ujumbe hivyo baada ya kukatazwa kuandamana kulikuwa hamna sababu ya kuwamru wafuasi wao kuandamana ili tu kuonyesha kupingana na agizo la IGP. Naona huo si ukomavu wa akili na kukosa busara kwa nia ya kujipatia umaarufu na uroho wa kupania kupata madaraka bila kufanya risk assessment kwa watu unaowatumia ili kufikia malengo ya kisiasa

Mwisho polisi wanapaswa kuwa na vifaa vingine tofauti na risasi za moto katika kutawanya waandamanaji kuepuka vifo, risasi inatakiwa kuwa ya mwisho kabisa endapo waandamanaji nao wamejitwalia silaha za aina yoyote kAMA vile mapanga, visu n.k
 
Back
Top Bottom