Hawa ndo wasiokubalika kwa kauli zao

Kutokana na utafiti wangu binafs kwa kipind cha mwez mmoja uliopita mpaka leo, wafuatao ndio waliotoa kaul ambazo wanaJF (siasa) walizipinga ama hazikukubalika kabisa ama zilileta mashaka. Wapo waliotoa kwa makusud na wapo waliotoa kauli hizo eidha kwa bahati mbaya au kwa kutokujua.
1. Spika Ane Makinda
2.Mwanasheria mkuu Werema
3. Afande Kova
4. Naibu Spika Job Ndugai
5 Ephraim Kibonde wa Clouds
6. Afande Zoka
7. Afande H. Msangi
8. Mwigulu Nchemba (Mb)
9. Mkurugenz NSSF
10 Shekh Ponda
Nipe orodha yako.
11.Rose Kamili (kuibiwa mume)
12.
Mnyika (Mwigulu alihusika EPA akiwa mwanafunzi)
13.
Tundu Lissu (Majaji ni makanjanja huku ni mabosi wake)

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom