Hawa ndo wasiokubalika kwa kauli zao

Wakati imebakia miaka mitatu na nusu tu kupata Rais mwengine Tanzania, kwa maendeleo ya nchi yetu katika karne hizi kuna viongozi wawe wametangaza au hawajatangaza nia ya kuwa Rais wa nchi yetu hawafai. Tafakari kwanza kabla hujapinga na ongeza majina bila upendeleo wa aina yoyote. Maneno ya kashfa yanapotajwa majina hayatosaidia:
1. Kabwe Zitto
2. Lukuvi
3. Lowassa
4. Nahodha
5. Mbowe
6. Sitta
7. Tibaijuka
8. Huseni Mwinyi
9. Pinda
10. Magufuli (labka Waziri Mkuu)
11. Wassira
12. Slaa
13. Aman Karume
14. Maege
15. Shibuda
16. Membe
17........
18......
..........
.........

17.Wewe
 
Hoja yako ingekuwa na manufaa zaidi kama ungekuja na vigezo kwa kila jina ambalo hauoni linafaa, vinginevyo kwa presentation ilivyo, it portrays bias, subjectivity na exploitation of certain prejudices na stereotypes that exists in our society.
 
HAPANA

A. Nape Nnauye
B. William MGONGO Malecela
C. William Ngeleja
D. Sijui Jina lakini Ni Naibu waziri kaoa former Miss TZ
E. PRINCE

Siipendi CCM lakini Labda Kidogo January Makamba
 
Wakati imebakia miaka mitatu na nusu tu kupata Rais mwengine Tanzania, kwa maendeleo ya nchi yetu katika karne hizi kuna viongozi wawe wametangaza au hawajatangaza nia ya kuwa Rais wa nchi yetu hawafai. Tafakari kwanza kabla hujapinga na ongeza majina bila upendeleo wa aina yoyote. Maneno ya kashfa yanapotajwa majina hayatosaidia:
1. Kabwe Zitto
2. Lukuvi
3. Lowassa
4. Nahodha
5. Mbowe
6. Sitta
7. Tibaijuka
8. Huseni Mwinyi
9. Pinda
10. Magufuli (labka Waziri Mkuu)
11. Wassira
12. Slaa
13. Aman Karume
14. Maege
15. Shibuda
16. Membe
17........
18......
..........
.........

HAPANA

A. Nape Nnauye
B. William MGONGO Malecela
C. William Ngeleja
D. Sijui Jina lakini Ni Naibu waziri kaoa former Miss TZ
E. PRINCE

Siipendi CCM lakini Labda Kidogo January Makamba
 
jnamkosea heshima mwana jamii mwezako, just say sikuungi mkono, lakini mpaka kufika kwa baba yake is below the belt, Hii forum yetu inahitaji referee
 
jnamkosea heshima mwana jamii mwezako, just say sikuungi mkono, lakini mpaka kufika kwa baba yake is below the belt, Hii forum yetu inahitaji referee
UKO sahihi kabisa,haya ni mawazo binafsi, nobody is restricted to think regardless to the content ya anachofikiria.labda angeacha hii kitu iwe under own prejudices. Watu watoe views zao then baadae angekuja nae kutoa views zake, bt yupo sawa
 
Hata mimi nashukuru sipo katika orodha hiyo, lakini huenda njikawekwa kwenye orodha ya wasiokubalika kwa kauli zao kwani kila mmoja anamtizamo tofauti dhidi ya mwenziwe hususana yule anayempinga.
Lakini mbona mmemuacha rafiki yangu mhe. Nursery? aliikana kauli yake ya ukanda wa kaskazini na sasa anakana kusema kuwa kigoma inaweza kutoa rais (zitto).
Pia katika orodha hiyo pia umewaacha wale viongozi wakuu wanaosimamia ukanda fulani wakati wanakwenda hadi kule ambako wanakuuona kuwa sio miongoni mwa maeneo yao kiutawala wa ule ukanda wao. Labda nimeweka kwenye mabano sana ila kwa wale wenye welevu watanijua namaanisha akina nani?
Mungu ibariki tanzania.
 
hapa ndo inaponikera jf kua na ushabiki wa siasa hata penye ukweli hujifanya hawauoni, hivi kweli huu uzi unakosa hata kauli za wapinzani ambazo kwa sasa nigumzo? aaaagggghhhh mna boa bwana , simameni kwenye ukweli ili jukwaa liheshimike sio kukurupuka tu na mapenzi ya vyama vyenu, nyie ndio mnaofanya sote humu jf tuonekane kijiwe cha umbea na majungu.

Umeambiwa taja watu wako, badala ya kutaja unalalama...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom