Hawa ndo wanasiasa wazalendo: watanzania wote tuwamini na influence yao ni kubwa sana

Nicholas J Clinton

JF-Expert Member
Mar 13, 2014
877
486
Hawa wanasiasa ni wazalendo wa kweli na wanahaminika licha ya changamoto zao za kibinadamu na kati yao wanaweza kuleta ustawi bora wa raia wetu na ndo pekee kati yao wapewe nchi yetu hawa ni pamoja na Dr Slaa, Lowassa, Mbatia na Zitto wanasiasa hawa influence yao ni kubwa sana na tunaitaji kuwapa nafasi ili tulijenge TAIFA
 
Zitto hapana,ni mnafiki sana,anajifanya mzalendo huku ni mla rushwa kupindukia.
 
zitto kuitwa katika hotel kupewa mrungura hasa taasisi mbalimbali anazozikagua kwenye kamati yake ya bunge.Hafai,ni mwepesi kudanganywa.
 
Hawa wanasiasa ni wazalendo wa kweli na wanahaminika licha ya changamoto zao za kibinadamu na kati yao wanaweza kuleta ustawi bora wa raia wetu na ndo pekee kati yao wapewe nchi yetu hawa ni pamoja na Dr Slaa, Lowassa, Mbatia na Zitto wanasiasa hawa influence yao ni kubwa sana na tunaitaji kuwapa nafasi ili tulijenge TAIFA

vipi lipumba mkuu!?au hana influence name uzalendo kumzidi mbatia!?
 
Kweli maana Lowassa alijaribu na alilofanya linaonekaana zile shule za kata japo na changamoto zake ambazo watawala kwa makusudi wamezifumbia macho zimesaidia mno sijui walifikiri wakihandle atapata sifa sana mzee hata ona chuo cha serikali za mitaa HOmbolo nasikia mzee huyu aliweka usimamizi wake pale ila akipewa LISSU mmh hapana atutayajua mengi abaki hukuhuku hata uwaziri hapana abaki tu mbunge tutampigia kampeni hadi mwisho maana nimeona kwann 2010 mgombea mmoja wa uraisi alisema ni bora yeye akakosa kura za uraisi kuliko LISSU kuwa mbunge
 
Ooyooo naona na omari nundu na maige na babu mwenye hikma na busara za kejeli ni wassera na babu ni kiboko wa kutuletea maendeleo
 
Hawa wanasiasa ni wazalendo wa kweli na wanahaminika licha ya changamoto zao za kibinadamu na kati yao wanaweza kuleta ustawi bora wa raia wetu na ndo pekee kati yao wapewe nchi yetu hawa ni pamoja na Dr Slaa, Lowassa, Mbatia na Zitto wanasiasa hawa influence yao ni kubwa sana na tunaitaji kuwapa nafasi ili tulijenge TAIFA

Hakuna wazalendo Zaidi ya Nyerere na Familia yake hoa wote uliowataja Mungu angekuwa anafunua faili la kila mmoja wao na kutuonesha lazima wahakosi kashfa hata ya udokozi
 
Kweli maana Lowassa alijaribu na alilofanya linaonekaana zile shule za kata japo na changamoto zake ambazo watawala kwa makusudi wamezifumbia macho zimesaidia mno sijui walifikiri wakihandle atapata sifa sana mzee hata ona chuo cha serikali za mitaa HOmbolo nasikia mzee huyu aliweka usimamizi wake pale ila akipewa LISSU mmh hapana atutayajua mengi abaki hukuhuku hata uwaziri hapana abaki tu mbunge tutampigia kampeni hadi mwisho maana nimeona kwann 2010 mgombea mmoja wa uraisi alisema ni bora yeye akakosa kura za uraisi kuliko LISSU kuwa mbunge

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,shule za kata zilianza enzi za utawala wa rais wa awamu ya tatu,awamu hii iliendeleza tu programme iliyokuwa imeanza na wakina sumaye na mkapa.
 
Hawa wanasiasa ni wazalendo wa kweli na wanahaminika licha ya changamoto zao za kibinadamu na kati yao wanaweza kuleta ustawi bora wa raia wetu na ndo pekee kati yao wapewe nchi yetu hawa ni pamoja na Dr Slaa, Lowassa, Mbatia na Zitto wanasiasa hawa influence yao ni kubwa sana na tunaitaji kuwapa nafasi ili tulijenge TAIFA

Usipende kutukana watu mkuu.Shetani na Malaika hawachangamani
 
Back
Top Bottom