Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Nimechekaje??? Kwetu Henry wanaita Henure,Kuna wakati nilimuuliza dada mmoja wa Kigogo jina la Mtoto wake akaniambia anaitwa 'Henerii', akimaanisha 'Henry'!!
Nimechekaje??? Kwetu Henry wanaita Henure,
Nachofurahia kwa Wasauzi ni kuwapa watoto wao majina ya asili..............!
Huku kwetu utakuta Mtu ana majina yote ya kukopa...........Johnson Maxwell, Jaquiline Mcdonald, Fredrick Russel.
Kuna wakati nilimuuliza dada mmoja wa Kigogo jina la Mtoto wake akaniambia anaitwa 'Henerii', akimaanisha 'Henry'!!