Hawa ndiyo "political prostitutes" walio kwenye danger zone

Hata wasipo pata third chance ya kuingia bungeni hawatakuwa marofa kama wewe ulivyo lofa.

Vipindi viwili bungeni tayari washajiwekea vitega uchumi vya kuyaendeleza maisha yao wakiwa nje ya bunge.
Mi naongeza wale makamanda watiifu watavyobaki bila ubunge ili hali wametii mpka mwisho.
1, G lema
2, JJ mnyika
3, E buraya
4, M 2 Sugu
5, H Mdee
6 F Mbowe
7 kwa mbaaali namuona E matiku
8 J Heche

Wengine ongezea,
Nadahani hawatakuwa na tofauti na hao wa CCM, wote wamekalia kuti kavu,
 
Hata wasipo pata third chance ya kuingia bungeni hawatakuwa marofa kama wewe ulivyo lofa.

Vipindi viwili bungeni tayari washajiwekea vitega uchumi vya kuyaendeleza maisha yao wakiwa nje ya bunge.

Mbona wewe unahangaika na akina waitara na moleli nao hata wasipopata hawawezi kuwa malofa kama wewe
 
Hahahahha .........sasa ukuda upo wapi hapo?!
Huo wa kuangalia profiles za watu na badala ya kumezea ukaona uzungumze kabisa.... unajua hili jukwaa lina watu wazima wenye heshima zao, tukiwa kule kwa vijana ruksaaa.
 
Hahahahaha....Lakini bado ninafuatilia hii signature polpole. This time nitakuja inbox....not public. Naomba ufunguliwa inbox!
Karibuuuuu,
Pia unaweza kuview my posts(ila usicomment) ili uzidi kupata mwanga.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa Ikulu Tumeondoa Pimbi, Nyoka Na Sasa Hivi Tumeleta Wanyama, Hawa Fisi Waacheni Hapa Hapa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😁😀😂😅😄😃😃
 
Mkuu Sexless, asante kutumia neno la Kiingereza la "political prostitutes" lipepunguza makali kuliko lingetumiwa neno la Kiswahili la "..lays wa kisiasa", kiukweli "..laya" ni "..kaya" tuu!.

Mimi nilitoa angalizo kitambo
Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, alikuwa hakopeshi wala harembi rembi maneno, alikuwa anatamka point blank


P

Mwalimu hakujua kuficha... ndio ni ...*alaya tu!!! Hilo neno halibadiliki na wahusika WANUNUZI NA WANAONUNULIWA HAWAJITAMBUI KUWA WAO WANAFANYA MAMBO YA AIBU!!!
 
Wafuatao walijitia umalaya wa kisiasa, lakini wametumiwa kama condom na wako kwenye hatari kubwa ya kutupwa na watumiaji (CCM).
1. Julius Kalanga. Kapelekwa mtoto wa Lowassa pale.
2. Maulid Mtulia. Kinondoni siyo yake tena, wenye chama wameanza kujitokeza
3. Mwita Waitara. Huyu ishakula kwake long time. Jimbo analolitaka hatolipata
4. Mollel. Pale Siha Kuna mtu mwenye kimemo anachukua jimbo
5.
Karibu uongezee na wewe msomaji.
Kwanza go get some sexlife, frustration inakuwaga kali sana bila tendo hilo.
 
Back
Top Bottom