Anithape
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 131
- 136
Mkuu naomba kuuliza.. kwani kwa upande wako mtu kujua kuongea lugha ya Malkia ni mbaka awe na lafudhi ya watu waliozaliwa huko?...Naona kuna Waarabu na watu wa mataifa mengine wenye lafudhi nzito kiasi kwamba kwenye "the" wanatamka "ze" lakini ukiondoa hizo dilect zao bado utakuta wanazungumza vizuri tu na kueleweka.
Hiyo ya lafudhi umeleta wewe, mimi sikuzungumzia lafudhi katika maelezo yangu.
Ninachosema ni kwamba mwalimi nyerere oral english yake haina tofauti na oral english ya mwalimu Asumani wa shule ya msingi mabibo. Wote viwango vyao ni 3/10 at best.