Hawa ndiyo Marais pekee waliokuwa na Intelligence kubwa katika lugha

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Akili zimegawanyika katika makundi kadhaa. Sitopenda kuzungumzia hayo makundi. Ila leo naweza kidogo kutambua Marais wawili kati ya watano ambao wamewahi kuongoza Tanzania.

Kwa upande wa ku master lugha vizuri au kuwa na intelligence kubwa katika lugha za kigeni wa kwanza alikuwa Mw.Julius Kambarage Nyerere na wa Pili ni Benjamin William Mkapa.

Hawa walikuwa wazuri sana katika lugha ya kiingereza. Tunasema walikuwa competent in english language. Baada ya hapo hatukuwahi tena kupata marais ambao sisi tunaoifaham lugha tulikuwa tuna enjoy.

Hawa jamaa walikuwa na akili. Mkapa kama angekuwa tu na uangalizi mzuri asingejichanganya na mafisadi alikuwa mmoja ya marais wenye akili.sure alikuwa na akili akaitumia vibaya.

Mwinyi alikuwa mzuri kwenye lugha mama...hii alizaliwa akiizungumza hakuna jipya sana.

Ukija kwa mzee wangu Mwinyi ,Kikwete na Dr. Magufuli. Hawa kiingereza chao ni cha ugoko.kinagonga gonga hivyo hivyo. Ze... Ze ze ze... Ndo hivyo tena.nliwahi msikiliza mara kadhaa kikwete akihojiwa kwa kiingereza ni aina ya kiingereza anachozungumza mtoto wangu wa standard 5.

Hamna kitu...alipata shida siku ile amekuja Obama anahojiwa suala la yule mfanyakzi wa ubalozini kule ughaibuni... Nikamwonea huruma.

Mwinyi hakuwa na makuu. Yeye alizoea kugonga kiswahili na was ok with that.
 
Lakini afadhali hata Mwinyi alijua kidogo pia Kiswahili alikuwa njema.Sasa Jiwe, Kiingereza hajui Kiswahili ndiyo Kabisa Mfano 'Salasini' badala ya "Therathini", Niwafanyizie Kazi. Arrrggg, pamoja na nyamitako wake naye Mzee wa 'Samanini' badala ya 'themanini'. Sasa mtu hujui Kiswahili hata Kiingereza Utaongoza binadamu hai kweli? Labda Ng'ombe huko au Maiti!
 
Cha hovyo sana ,chepesi kama cha mtoto wa darasa la 5 au saba C.

Nilimuona JK akiongea kwny World Economic Forum aisee nilicheka sana maana kile kiingereza kilikua ni kama cha kijiweni pale saigoni hahah.
 
Back
Top Bottom