mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!
Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo. Siyo siri mwenzenu nimevutiwa na hawa watu
na nimewakubali %100 kutokana na michango yao katika jukwaa la siasa! Najua tuko au muko wengi sana kwenye jukwaa hili na wote
ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya kitaifa na hatima ya nchi yetu, lakini kuna vigezo ambavyo vimenifanya nione hawa watu
wako tofauti sana na tuliowengi kwenye jukwaa hili. Nao ni -
1. Mzee mwanakijiji
2. Mkandara
3.Pasco
4.Kiranga
5.Field Mashalls
6.Williams @New york city.com
7.EMT
8.Waberoya
9.FJM
10.Voice of Reason
11.Gurudumu
12.Paka Jimmy
13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)
14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)
Jamani kwa upeo wangu hao watu hapo juu linapokuja swala la kuleta post yake au kuchangia post ya mtu fulani fulani
huwa wanatumia busara na hekima! yaani kwangu mimi naona hawa watu wanaupeo mkubwa sana ndani ya bongo zao.
Hakika kwa mtazamo wangu hawa ni wapembuzi yakinifu ndani ya JF jukwaa la siasa hasa pale tunapojadiri mustakhabari
wa nchi yetu na mambo ya kimataifa! Lakini baadhi ya wengi wetu humu ndani tunashindwa kupambana kwa hoja na bada
la yake tunakimbilia vijembe na matusi au neno crap. Lakini hao watu hapo juu usipime! yaani wanakujibu kwa hoja inayoji
toshereza na mwenyewe unaridhika kwa kukubari au unaingia mitini kwa aibu ya ubishi.
Ndiyo maana mimi nimeamua kuwaita hawa watu ni ma ICON wa JF jukwaa la siasa. Na kama ningekuwa mmoja kati ya Mods
basi ningependekeza hawa watu cheo chao kiwe ni - Super JF Premium member na si JF Premium member.
Au nyie wenzangu munawazungumziaje watu hawa? Kweli unaweza kuwafananisha watu hawa na akina Rejeo? Nawasilisha