Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

MARUMA J

Member
Jun 10, 2011
48
9
DSC04525.JPG inakadiriwa walikuwa watu 108 kutoka Tumaini university smmuco waliopewa DSC04525.JPG DSC04525.JPG kadi na mhe. Nape . Ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi. Sasa wanaJF kazi kwenu angalieni ndugu zenu wanachofanya. Tunafangia wenyewe wanachafua
 
Hivi si nilisikia vyama vinaambiwa visipeleke siasa vyuoni? Sasa kugawa kadi ni nini? Au Bw. Nepi kageuka mhubiri wa dini?
 
Kapilimba hooye, tafuna na huko ccm kama una ubavu. Mbona hili gamba halikuthubutu kujiunga na cdm? Tungemtoa baru! Eti kaenda kusema yeye ni rais wa chuo. Huku ni kutudhalilisha.
 
hakuna kitu kibaya kama njaa, njaa humfanya m2 kuwa mtumwa, ninapoona kijana tena msomi anajiunga na ccm huwa nadhani atakuwa hayuko kamili.
 
Najaribu kutafakari msukumo uliosababisha hawa wasomi tena kwa ngazi ya chuo kikuu kuchukua uamuzi wa kujiunga na CCM. Niwakumbushe historia fupi ya nchi tulizopata nazo uhuru miaka ya sitini, ambazo kiwango chao cha maendeleo wakati huo kilikuwa sawa na sisi, leo hii hatulingani nazo kwa kiwango chochote kile, swala ni kwamba watawala wetu wanatofauti gani na hao wa nchi za wenzetu ambazo zimepiga hatua za kimaendeleo?
Nirudi kwa wasomi mloamua kujiunga na CCM hamuoni kuwa ni wakati sasa wa kufanya mabaliko ya uongozi ili tuwe na uongozi bora unaoweza kufanya mabadiliko yanayoendana na rasilimali zetu?
Wasomi mnamchango mkubwa katika kufanya mabadiliko iweje mfanye uamuzi wa kujiunga na chama kinachoonekana kabisa kimeishiwa mbinu? Tafakari....
 
View attachment 34361inakadiriwa walikuwa watu 108 kutoka Tumaini university smmuco waliopewaView attachment 34361View attachment 34361kadi na mhe. Nape . Ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi. Sasa wanaJF kazi kwenu angalieni ndugu zenu wanachofanya. Tunafangia wenyewe wanachafua
unajua njaa ni k2 kibaya sana.nawapa hongera hata walioanzisha mpango wa chakula mashuleni! Msomi anapodanganywa kwa shati na hela ya lunch inatia aibu sana na inaumiza kichwa! Tatzo le2 tunafkiria viahad vya kupewa madaraka kuliko ukweli wa mambo unavyotakiwa.hata wale waliomchangia jk udom 2010 wanajuta na ku2ambia walibebwa kwa lazima,haiingii akilini!
 
ni kweli siasa ndani ya chuo hairuhusiwi ndio maana mkutano wao walifanyia nje ya chuo. kwenye ukumbi wa kada wa CCM (KING SIZE)
 
hawa ni wasomi uchwara, wanafiki na wazandiki, kila mtu mwenye akili timamu anajua fika kwamba ccm ni kiini cha kudorora kwa maendeleo ya taifa hili...sasa kama msomi wa chuo kikuu anasoma kwa kodi za watanzania maskini, na wanaotegemewa kuwa na mawazo mbadala juu ya changamoto za nchi hii, bado anajiunga ccm, ni msaliti mkubwa asiyestahili kusomeshwa na kodi za watanzania hao!
 
inawezekana kwani hata rais wa serikali ya wanafunzi alikuwa mmoja wao ! ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa sh. milioni 3 za wanachuo
 
ukiona sura ya unaye mfahamu mwambie sio vizuri hivyo! mbambie arudi tukomboe nchi kwani imetekwa na maharamia
 
Waache wajiunge na chama wanachotaka, kwani wanatumia haki yao ya kikatiba. Cha msingi wanatakiwa wapeme wenyewe ni nani anaonekana amekula akashiba kupita kiasi kwenye hiyo picha.
 
Back
Top Bottom