Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

Waislam ndio wanaoongoza kwa kuendekeza udini nchini. Mfano, Ramadhan Dau wa NSSF, Idrissa Kikula wa UDOM, etc.

we subiri huyo Godfather wako lowasa wamweke anapostahili,by the time they are through with him he is going to be singing hallelluya for the rest of his life.
 
Wajumbe wa NEC:

  1. Wassira Stephen - 2,135
  2. January Makamba - 2,093
  3. Mwigulu Nchemba - 1,967
  4. Shigela Martin - 1,824
  5. Lukuvi William - 1,805
  6. Membe Bernard - 1,455
  7. Mathayo David - 1,414
  8. Msome Jackson - 1,207
  9. Mukama Wilson - 1,174
  10. Mukangara Fenella - 984

Hakuna suara mpya wala mtu mwenye maono miongoni mwa hawa waccm. Bila shaka kazi yetu haitakuwa ngumu sana kama baadhi yetu tulivyokuwa tunafikiria, kwani kwa ujumla safu mpya ya ccm ni sawa ba kiriba cha zamani katika chupa mpya.
 
ccm chama cha majambazi wa kura,epa,meremeta,uswiz,jersey,kiwira,east africa wazee,mikopo ya wanafunzi,twiga,richmond,nk..list ni ndefu! Ccm haikubaliki,tushirikiane kuitokomeza.
 
Membe ana pesa nyingi sana zadi ya dola 100 milioni....kwa ajili ya uchaguzi...,
Ridhiwani Kikwete - kampeni meneja
Salma Kikwete - mhamasishaji mkuu
Lazaro Nyalandu- mmoja wa waratibu...

Kwenye uchaguzi huu...Membe ametumia nguvu kubwa sana....,lakini ni wazi kuwa nchi hii haiwezi kuongozwa na mtu wa hovyo na asiyeaminika ..,mwenye chuki binafsi kama membe.....hatujaishiwa watu namna hiyo hadi kuongozwa na Vinyago vya Mpapure......wakati majembe yanaonekana ..kama Magufuli,Mwakyembe,Lowassa,Salim ,Dr Mahiga...etc ..
Uchaguzi huu wa NEC membe kabebwa na rungu la mwenyekiti....kwani hata Fenella Mukandara alikuwa amemzidi kura ....[secret]
PM, maneno haya ni yako kweli? Hayo majembe uliyotaja ni kwa ajili ya kuongoza nchi au hilo chama lao la rushwa?niweke sawa kidogo mkuu.
 
Kawaida ya Chaguzi za CCM huwa zinatoa 'surprise' kama ilivyofanyika leo, ndiyo maana macho na masikio ya wananchi wengi huwa yanaelekezwa kwenye vikao vyake hivi vikuu.

Kuna watu humu nasikia wanajipa 'hope' eti hii timu siyo maridadi. Wanasahau kuwa hii ni miongoni mwa timu ndogo ya NEC kati ya timu kubwa ambayo CCM imeiunda kupitia chaguzi za wilaya.
 
Inaonekana wewe ni mfuasi sugu wa Membe. Subiri uone moto mkali atakaowawashia Lowassa 2015. Membe hana ubavu wa kupambana na Lowassa.

First things first. Tunajadili uchaguzi wa NEC ambao watu waliwekeza mabilioni kumkwamisha Membe na matokeo yake ni aibu. Viapo vyote vimewatokea puani wasijue kwamba uchaguzi ni sayansi ambayo watu wana taaluma nayo. Hizo speculation zako kuhusu 2015 hazina nafasi hapa maana msingi wa kudhani Lowassa atashinda ni fedha zake na hongo anazozifanya. Kama mnadai 90% ya wajumbe ni wafuasi wake aliowapata kwa fedha zake, ilikuwa wengi wamchague Membe? Hapo ujue Lowassa hana hati miliki kwa wana CCM hawa na watu watawatumia hao hao kushinda chaguzi mbele ya safari. Leo ni siku ya huzuni sana kwa makoloni ya fedha! Pigo moja, pigo kubwa, pigo takatifu kwa waumini wa fedha chafu.
 
CCM imegeuka kuwa chama cha ajabu sana; Yani Katibu Mkuu wa Chama aliyepo madarakani anaponea chupuchupu kwa kushika nafasi ya tisa kwa idadi ya kura, kati ya jumla ya idadi inayotakiwa ya watu kumi?

Mambo kama haya hayajawahi kutokea; Ina maana huyu Katibu Mkuu alikuwa anafanyeje kazi na viongozi waliomshinda kura ambao technically ni junior kwake kicheo ndani ya chama, hasa yeye akiwa ndio mtendaji mkuu - Kina nchemba, Makamba, Shigela? Hii inatoa ishara gani kuhusu nani ndio alikuwa anakiendesha chama, na nani atakiendesha chama kuelekewa 2015 na kwwa malengo yepi? Kwa kweli matokeo haya yametoa picha very interesting kuhusu jinsi gani chama hiki hakitaisha na migogoro;

Vinginevyo naona majina mawili tu ambayo yatajenga, mengine yatabomoa tu zaidi!
 
PM, maneno haya ni yako kweli? Hayo majembe uliyotaja ni kwa ajili ya kuongoza nchi au hilo chama lao la rushwa?niweke sawa kidogo mkuu.

Mfa maji haishi kutapatapa. Wenzio wanadai wamesalitiwa wewe unaleta wehu! Kweli hili limewaumiza sana maana sasa inakuja habari hii yenye makengeza kuhusu dola milioni 100, kutoka wapi? Hao unaowaita majembe tunawakubali lakini hapa hatujadili urais, tunajadili mlivyogaragazwa leo pamoja na mileage mlizopiga kuzunguka na fedha haramu kuchafua watu. Mungu haitwi jina lingine bali ni Mungu na analolipenda Yeye nyie mtabaki kulikodolea jicho tu. presha ya jamaa sasa inahitaji safari mpya ya Ujerumani baada ya hapa.
 
Nikiangalia hii orodha naona karibia wote ni wa upande mmoja.
CCM iliwatumia Waislam kama condom 2010 ili kujipatia kura zao na sasa imewageuka. Inawakaanga. Je Waislam watakimbilia wapi, CUF?
 
...huko maswala ya Gendet balance hayapo lakini kwenye Uwakilishi wa wananchi Bungeni ndo inakua kidedea: kazi kwelikweli.
 
CCM imegeuka kuwa chama cha ajabu sana; Yani Katibu Mkuu wa Chama aliyepo madarakani anaponea chupuchupu kwa kushika nafasi ya tisa kwa idadi ya kura, kati ya jumla ya idadi inayotakiwa ya watu kumi???? Mambo kama haya hayajawahi kutokea; Ina maana huyu Katibu Mkuu alikuwa anafanyeje kazi na viongozi waliomshinda kura ambao technically ni junior kwake kicheo ndani ya chama, hasa yeye akiwa ndio mtendaji mkuu - Kina nchemba, Makamba, Shigela? Hii inatoa ishara gani kuhusu nani ndio alikuwa anakiendesha chama, na nani atakiendesha chama kuelekewa 2015 na kwwa malengo yepi? Kwa kweli matokeo haya yametoa picha very interesting kuhusu jinsi gani chama hiki hakitaisha na migogoro;

Vinginevyo naona majina mawili tu ambayo yatajenga, mengine yatabomoa tu zaidi;
Haumfahamu Mukama. Ni mmoja kati ya wachache sana ndani ya CCM ambaye hahongi, hanunui kura, hana maswahiba wala kundi lolote. Kura hizi ni zake halali kabisa. Waadilifu nchi wanachaguliwa kwa taabu sana kwa tulio wengi tumeoza sana.
 
CCM imegeuka kuwa chama cha ajabu sana; Yani Katibu Mkuu wa Chama aliyepo madarakani anaponea chupuchupu kwa kushika nafasi ya tisa kwa idadi ya kura, kati ya jumla ya idadi inayotakiwa ya watu kumi???? Mambo kama haya hayajawahi kutokea; Ina maana huyu Katibu Mkuu alikuwa anafanyeje kazi na viongozi waliomshinda kura ambao technically ni junior kwake kicheo ndani ya chama, hasa yeye akiwa ndio mtendaji mkuu - Kina nchemba, Makamba, Shigela? Hii inatoa ishara gani kuhusu nani ndio alikuwa anakiendesha chama, na nani atakiendesha chama kuelekewa 2015 na kwwa malengo yepi? Kwa kweli matokeo haya yametoa picha very interesting kuhusu jinsi gani chama hiki hakitaisha na migogoro;

Vinginevyo naona majina mawili tu ambayo yatajenga, mengine yatabomoa tu zaidi;

Kuna habari ziliwahi kuvuja kwamba Mukama alimuandikia barua mwenyekiti wake akitaka kuachia ngazi ya ukatibu mkuu, kwamba nape na mwigulu walikuwa wamejitwalia madaraka ya kukiendesha chama kama mali yao, nadhani hiyo inaweza kuthibitisha kwamba hakuwa na nguvu ya kutosha kukiongoza chama, na hayo matokeo yameonyesha ukweli wa mambo.

Kwa mtazamo wangu Mukama kuwania nafasi ya UNEC ni kuthibitisha kwamba ccm inatarajia kujipatia katibu mkuu mwingine kipindi hiki, atakayejaza nafasi ya Mukama.
 
Mchambuzi,
Haumfahamu Mukama. Huyu ni mmoja kati viongozi wachache sana ndani ya CCM asiyejua kuhonga, asiyejua kununua kura, hana maswahiba, hana kundi wala kambi ndani ya CCM. Watu wa aina yake wanachaguliwa kwa taabu sana ndani ya CCM. Mimi nilimshangaa sana alipojitumbukiza kwenye kundi hili. Kura za KIITIFAKI zimemsaidia sana.
 
First things first. Tunajadili uchaguzi wa NEC ambao watu waliwekeza mabilioni kumkwamisha Membe na matokeo yake ni aibu. Viapo vyote vimewatokea puani wasijue kwamba uchaguzi ni sayansi ambayo watu wana taaluma nayo. Hizo speculation zako kuhusu 2015 hazina nafasi hapa maana msingi wa kudhani Lowassa atashinda ni fedha zake na hongo anazozifanya. Kama mnadai 90% ya wajumbe ni wafuasi wake aliowapata kwa fedha zake, ilikuwa wengi wamchague Membe? Hapo ujue Lowassa hana hati miliki kwa wana CCM hawa na watu watawatumia hao hao kushinda chaguzi mbele ya safari. Leo ni siku ya huzuni sana kwa makoloni ya fedha! Pigo moja, pigo kubwa, pigo takatifu kwa waumini wa fedha chafu.
Unajadili jambo kwa jicho la chongo. Upande wa pili unajifanya huoni! Je hukumuona Lazaro Nyalandu wakati anazunguka na mabilioni ya Membe kuhonga wajumbe wilayani?!!! Kwa ufupi maelezo yako yapo biased sana. Kwa nini hutaki kukubali kwamba Lowassa kawafunga JK na Membe bao la kisigino?.
 
Back
Top Bottom