Kwa sababu alitofautiana na slaa? halafu mzee wa watu akamfukuza mshikaji na jimbo akalifukuza pia. Kama si kipofu wa kufikiri basi utakuwa chongo wewe.kafulila hana lolote kakuzwa na zitto zito kwisha naye kwisha

Tupe determinants ulizotumia isije ikawa ume copy na ku paste ile List ilyopo kanisani inayosubiri kupelekwa kwa wahariri iwapambe for the year 2011!!!!Unamaana Zitto Kabwe hayumo kwenye orodha hiyo au? Naona harufu ya udini kwenye listi yako kaka.