Hawa ndio wanasiasa vijana Machachari wa Tanzania, tuwaunge mkono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio wanasiasa vijana Machachari wa Tanzania, tuwaunge mkono

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Jan 3, 2011.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nimekaa chini nikawaza na kutafakari kwa kina siasa za Tanzania nikagundua kitu kimoja.Nchini Tanzania kuna wanasiasa vijana wanaokuja juu sana,nyota zao zinaanza kung'ara na naamini wataikomboa nchi yetu hapo baadae.Wanasiasa hawa vijana wanaonekana kuwa wana dhamira ya dhati ya kuisaidia nch yetu.Tuwaunge mkono wanasiasa vijana ambao ni;

  1. Julius Mtatiro-Naibu Katibu Mkuu - CUF
  2. David Kafulila -Mbunge wa Kasulu-NCCR-Mageuzi
  3. Jerry Silaa -Meya wa Ilala(DSM)-CCM
  4. John Mnyika-Mbunge wa Ubungo-CHADEMA

  Hawa vijana wanajituma sana katika siasa na kutetea maslahi ya watanzania na sio vigeu geu na hawatafuti sifa,hawako katika siasa kwa maslahi yao bali wa wananchi wote.Wakati vijana hawa wanakuja juu kisiasa,wanasiasa wengine vijana zilipendwa wanazidi kufulia.Sijui kama atarudi kwenye chati kwa kuwa hawezi kuwafunika hawa niliowataja.Alamsiki
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unamaana Zitto Kabwe hayumo kwenye orodha hiyo au? Naona harufu ya udini kwenye listi yako kaka.
   
 3. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Dada Zena hakuna udini wala nini ,mimi mwenyewe ni Muislam,ila kusema kweli hao wanasiasa wako juu
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona umemsahau Januari Makamba? He is very intelligent.
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Tunaomba usituletee jina la January makamba, huyu fisadi utamlinganishaje na vijana kama hawa?
  January Makamba ni Fisadi mkubwa !
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kafulila kaingiaje kwenye hiyo list? Hebu tupe wasifu wake ili tujue alifanya a,b,c...ndio mpaka aitwe mwanasia machachari.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Umemsahau January Makamba
   
 8. K

  Kalila JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitooooooooooo kwisha habari yakeeee
   
 9. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ridhiwa Kikwete naye hayumo? Kwani mpaka sasa hivi yuko juu kwenye ngazi ya maamuzi ya CCM.
   
 10. m

  mpingomkavu Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msimsahau Bi HALIMA MDEE
   
 11. z

  zamlock JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  jaman msimsahau dada yangu na mbunge wa jimbo langu halima mdee anapambana sana jamani
   
 12. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote wanafki tu labda msela wangu sugu tu
   
 13. S

  Shiefl Senior Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wa harakaharaka ni kuwa kwenye hiyo list labda Mnyika tu anaweza kuwa si geugeu. Wengine wote sina rekodi yao. Huyu jamaa wa CUF ni mhuni tu. Alikuwa anajifanya kuongoza migomo UDSM, kumbukeni tangu Iteligence ya TZ na polisi walivyomkamata alikwenda wapi. Kajichimbia kule alkojua na akaja kumsumbua Mnyika Ubungo kwa tamaa za madaraka na sasa CUF kwa kukosa watu wakaona ni saizi yao kumweka naibu Katibu Mkuu. CUF ni another CCM. Kafulila baada ya kuona ukuu haupati CHADEMA kakimbilia NCCR sasa what are you talking about. Huyu Silaa anayeigiza jina la DR slaa ni nguvu za soda tu anataka akapewe fungu na contractors atulie. bwana we, ukishakuwa ccm umekwisha eti. Hamjamwona bwana Nyalandu na sera zake zote amepiga kelele we akiwa Mbunge sasa katupiwa mfupa tuone ataondoaje wizara yake kwenye dimbwi la ukosefu wa umeme na matatizo mengine:hungry: this is what the guys you mentioned are looking for
   
 14. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo Jerry Slaa chama kitamwaribia yuko kwenye wrong positiĆ³n
   
 15. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Dah,una busara sana Jerry Silaa anatakiwa ahame chama maana baadaye anaweza kuja kutoswa kama Samuel Six.

  ..katika list + Mh Halima Mdee.

  ..Ukiongolea wanasiasa Ridhiwani hayumo.January Makamba ...NO BIG NO,Zitto K ?????
   
 16. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kafulila hana lolote kakuzwa na zitto zito kwisha naye kwisha
   
 17. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Wanasiasa vijana Wanaokuja juu kwa ufisadi nchini

  1. Ridhwani JK
  2. January Makamba
  3.
  4.
   
 18. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muondoen haraka sana jerry silaa
   
 19. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mwanasiasa kijana makini ni Zitto Kabwe
   
 20. M

  Mama PC Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mh! Jasusi unamjua January Makamba au unamsikia! Muondoe kabisaa, hapo labda Mtatiro, Mnyika na Tuwaongeze Zitto na Mdee.
   
Loading...