Hawa ndio wanaruhusiwa kupiga kura kwenye tuzo za B.E.T

Oct 16, 2020
92
150
Hello guys hope mko poa wote kama kuna ambae hayuko poa Mungu awe naye.

Nimeona mijadala mingi sana kwenye mitandao watu wakifanya kampeni ya kutompigia kura diamond platnumz katika tuzo za BET na kujinasibu kuwa watampigia Burnaboy au Wizkid.

Labda kitu ambacho watu wengi hawafahamu ni kuwa ushiriki wa mashabiki katika tuzo hizi haupo kabisa. Kura zote zinapigwa na members of Academy ambao kwa mujibu wa wikipedia hawazidi 500.

Hao members wanapatikana hivi. Watu wa media, bloggers, Tv personalities na wadau wengine wa muziki, wanatumiwa maombi ya ku nominate nani na nani awe kweny category.

Kwa academy members huwa wana apply form kwenye mtandao wa VIACOMCBS ambao ndio wamiliki wa vituo vya BET, MTV na VH1

Huko kweny hiyo form utaulizwa maswali kuhusu pop culture ya duania nzi@ma.Ukisha jibu hayo maswali wao ndio wataku asses kuangalia wale waliojibu maswali kwa usahihi zaidi.

Na hapo ndio utapata confirmation ya kua umekua accepted kua member au kukataliwa.Na hao ndio weny ruhusa ya kupiga kura.

So hao wapiga kelele huko twitter hawatabadili chochote.Wala hawata ongeza chochote.
 
Jul 8, 2020
27
45
yes its true though it depends inawezekana diamond akachukua mwaka huu naon imemkalia pazuri hao burna boy na wizkid wa anticipate sana kwny hzo tuzo muziki unasafiri worldwide ni lugha tu ile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom