MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Jun 5, 2016 #3 Kwa sababu wanaakili sana kutuzidi
mchome jr JF-Expert Member Apr 9, 2015 599 748 Jun 5, 2016 #4 Sisi tutabaki kuangalia tu na kusikia yakitokea kwa nchi nyingine..!
butron JF-Expert Member Jun 3, 2013 5,626 7,909 Jun 5, 2016 #5 MKWEPA KODI said: Kwa sababu wanaakili sana kutuzidi Click to expand... Akili kubwa inaongoza akili ndogo wakati Tanzania ni kinyume.
MKWEPA KODI said: Kwa sababu wanaakili sana kutuzidi Click to expand... Akili kubwa inaongoza akili ndogo wakati Tanzania ni kinyume.
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,962 Jun 5, 2016 #6 Asante kwa taarifa,ngoja tuwasikilize na wenye chama chao wanasemaje.